DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Msigwa sio wa songea mkuu, ni wa Ilembula NjombeKila mtu na mwandiiko wake yeye anapendelea huo mwandiko ingawaje si mzuri sana kama wa yule wa songea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msigwa sio wa songea mkuu, ni wa Ilembula NjombeKila mtu na mwandiiko wake yeye anapendelea huo mwandiko ingawaje si mzuri sana kama wa yule wa songea
Hivi bango likimhusu yeye kama Rais, ataachia ngazi?Wakati huo huo mama ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mabango wananchi wakiilalamikia serikali; na kwamba mabango hayo yatawa-cost wakuu wa mikoa.
Labda hata shule za watoto alikuwa hajapataAlly Hapi ndo kwanza alikuwa anajitambulisha kwenye wilaya za mkoa wa Tabora. Jumatatu na jumanne alikuwa anajitambulisha wilaya ya Kaliua, jumatano na alhamisi alikuwa wilaya ya Urambo, ijumaa amehamishwa mkoa.
Sijui kama alishamaliza kujitambulisha Tabora. Kazi Iendelee.
Tunasafisha nyumba au ghala hadi pale itakapo kuwa safi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Hatua hiyo imetokana na Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine.
Taarifa iliyotolewa usiku huu wa Juni 11, 2021 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu imesema katika mabadiliko hayo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ally Salum Hapi anahamia Mkoa wa Mara.
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo, Rais Samia amemteua Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Batilda Salha Buriani kuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora kuchukua nafasi ya Ally Salum Hapi.
Aidha Katibu Twala Wilaya ya Simanjoro Zuwena Omari Jiri ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga kuchukua nafasi ya Batilda Salha Buriani.
Taarifa hiyo imesema tarehe ya uapisho wa viongozi wapya itatangazwa baadae
View attachment 1814796
Chalamila alikuwa mpenda sifa muonevu na mbwabaj. Kinacho furahisha kwa mama SSH hata wajaribu kumpenyezea majina ya watu hovyo atajitahidi kutumia vyombo vyake kufanya tathmini ya kina kubaini ukweli.Mlevi Chalamila amefanya kosa gani huko?
Kundi lenu hovu loote tunaling'oa na hapo bado
Huyo aanze naye kupaki mabegi yakeAlly Hapi ndo kwanza alikuwa anajitambulisha kwenye wilaya za mkoa wa Tabora. Jumatatu na jumanne alikuwa anajitambulisha wilaya ya Kaliua, jumatano na alhamisi alikuwa wilaya ya Urambo, ijumaa amehamishwa mkoa.
Sijui kama alishamaliza kujitambulisha Tabora. Kazi Iendelee.
Wanywaji wa mwanza leo wana simanzi, MAMA, piga ALI HAPI sasaDuh chalamila kaliwa kichwa,pombe itanywekwa kweli?haha
Atakuwa kigogo part 2Kuwa siriasi.usiku huu umepata wapi info ama wewe umemrithi msigwa nini
Hapi muda wake unakuja soonChalamila alikuwa anahangaika mno. Juzi hapa nimemuona akiwataka wananchi wa Mwanza wajitokeze kwa wingi kwenye ziara ya rais atakayoifanya mkoani humo na akawataka waje na mabango ya kutosha - hata kama ni ya matusi sawa tu. Wakati huo huo mama ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mabango wananchi wakiilalamikia serikali; na kwamba mabango hayo yatawa-cost wakuu wa mikoa. Huu ni wakati wa ku-lay low na kusoma upepo unavyokwenda. Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri mpira wa kona?
Mtakoma team yenuWhat is vetting Kamanda? Inafanyika vipi?
Ngoja nije mimi unipe kwa niaba yake😊Hon. Chalamila pitia hapa Mtwara nikupe tendo la ndoa bureee.... upunguze stress, vinginevyo wewe Mnyalu unaweza kujinyonga. Onyo! Usije na hung over ya BALIMI ya Kanda ya Ziwa.
KARAMA imekurudia, Sugu anakusubiri mkanywe ulanzi[emoji846][emoji846][emoji846]
Yesu Kristo aligeuza maji kuwa divai.Tuliandika humu kapelekwa kwenye lango la kutokea asipotuliza akili... wapambe wake wakatubeza Dar na Mwanza ni viatu vikubwa kwa "wenye miguu midogo..." waliokuwa wakimshangilia kwa hizo walizozisifia kuwa ni "akili" nadhani sasa wameelewa "...kwanini ilisemwa pombe kitovu cha uzembe!!" Ati ni comedian.... pole yake twamkaribisha uraiani ambako asipojichunga "wakalimani" watatafuna masurufu na mafao akija tahamaki....
Aione Phillipo Bukililo
Kwisha kundi lenuDoing your due diligence by using all the available resources at your disposal in order to get it right the first time.
HaikuhusuPress release ni ya tarehe 11, Juni.
Imetolewa baada ya saa sita usiku?
Chalamila alikuwa anahangaika mno. Juzi hapa nimemuona akiwataka wananchi wa Mwanza wajitokeze kwa wingi kwenye ziara ya rais atakayoifanya mkoani humo na akawataka waje na mabango ya kutosha - hata kama ni ya matusi sawa tu. Wakati huo huo mama ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mabango wananchi wakiilalamikia serikali; na kwamba mabango hayo yatawa-cost wakuu wa mikoa. Huu ni wakati wa ku-lay low na kusoma upepo unavyokwenda. Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri mpira wa kona?
We kahaba kaa kimyaMtakoma team yenu