Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

Hamisi alifanya vizuri sana kwenye ujenzi wa Meli na kwa kweli katika muda mfupi zilijengwa meli na nyingine bado zinaundwa.Tangu atoke huko hali I.ekuwa tete sana yaani mpaka leo wanastruggle kujenga hiyo meli ya mv hapa kazi tu ya kutoka mwanza kwenda bukoba na kwa kasi hii 2025 watakuwa bado hawajamaliza.baada ya jiwe kufa kuna masarakasi yalifanyika kule kwenye mikataba nafikiri alihusika ndiyo sababu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hangaya alimtimua mteule wa Magu pale! Manyumbu yajashangilia eti sukuma gang wanakomeshwa
Ujumbe wenu leo umewafikia? Mna akili ndogo🤣🤣
 
Hili swali lako aisee, huko kwa wenzetu sio bandari tu karibu vitu vyote huduma zote zipo vizuri.
Na huku kwetu tatizo sio bandari tu, kila sehemu ni uozo
 
Unachekesha😀
 
Naomba kuelimishwa,Tatizo la msingi pale bandarini ni nini?
Tatizo ni Siasa; Siasa; Siasa..

Connection ya Eric Hamissi ilikuwa kwa Waziri Mkuu, sasa za chini ya kapeti ni kuwa Mama na W/Mkuu kwa sasa wanalea tu watoto lkn ndoa ilishakufa, so ilikuwa lazima mama amchomoe aweke mtu wake!
 
Ila Kuna watu kwa propaganda mpo vizuri. Huyu mbosa ni wa kwake? Ili akija kuondolewa tuwakumbushe tena
 
Huyu mbossa ni kijana makini, nimemjua kipindi cha JPM akiwa msaidizi wa kankoko kabla hajampandisha kuwa miongoni wa wakurugenzi
 
Tatizo ni Siasa; Siasa; Siasa..

Connection ya Eric Hamissi ilikuwa kwa Waziri Mkuu, sasa za chini ya kapeti ni kuwa Mama na W/Mkuu kwa sasa wanalea tu watoto lkn ndoa ilishakufa, so ilikuwa lazima mama amchomoe aweke mtu wake!
Aiseee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…