Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo, nikivurunda ninatenguliwa mchezo kwisha. Tena ninatafutiwa nafasi nyingine .Maisha yanaendelea. Saaaafi sana.Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu. Plasduce Mkeli Mbossa.
Yule aliye chukua nafasi ya Kalemani,wale ni wenye nchi aka mshikaji wake Kigogo. Yule pamoja na kuharibu hatolewi mpaka 2025.Anakula asali tu kama alivyosema baba yake.Walimuondoa yule wa waliyemkuta Kwa figisu wakamuweka huyu wa kwao..
Waendelee hadi kule walimpotoa kalemani sasa kumeoza kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi nahisi ile bandari kama yalivyo madini huenda pia siyo yetu.Bandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Tena nikwambie hakuna sehemu saiz haivuji watu wanatafuna sana! Mfano pale TRA ndo usiseme! Ila machawa walivyo vichwa maji eti mama anaupiga mwingi! Kamishina mkuu wa TRA ni shida jipu linalosubiria kutumbuka! Makamba yeye yuko njiani maana anachokifanya hakieleweki! Sema pia shida ni mama mwenyewe kukubali kudangavywa na wapigaji!Yule aliye chukua nafasi ya Kalemani,wale ni wenye nchi aka mshikaji wake Kigogo. Yule pamoja na kuharibu hatolewi mpaka 2025.Anakula asali tu kama alivyosema baba yake.
🤣🤣🤣tunaambiwa pale pamejaa maafisa sasa wanakazi ganiHivi nchi za Ulaya bandari zao nazo zina shinda kama hizi? Kama hawana wao wamewezaje kudhibiti? tunashindwa nini kujifunza mifumo ya udhibiti toka kwao?
Maana pale TPA ukichaguliwa ni lazima utatenda dhambi hata kama ulikuwa hutaki kumuudhi muumba wako, maana hela inakufuata yenyewe sasa uikatae sheikh ?
TICS wenyewe hawatupi hio Tirioni 4...wanalipa bilioni 14 kwa mwaka, tena baanda ya heka heka za mwendazake b4 walikua wanalipa bilioni7...muwekezaji mwingine ndo kabisaa hatutapata kitu.Yes, tukubali tu kwamba tumeshindwa tumpe mwekezaji aendeshe ili sisi atulipe kodi yetu. Kuna muda Kagame aliomba tumpatie ili awe anatupatia kwa mwezi Trillion 1, tukagoma. 🙂
Fupi au ndefu ndugu🏃Kamba ilikuwa fupi
ndugu yangu hata ukiweka wachungaji na maaskofu pesa itapigwa tu, TPA ndiyo jiko la nchi Mkuu msosi wote unapikwa hapo - yaani pesa inakutafuta wewe sasa ufanyaje.Nchi pasua kichwa, nadhani ni muda sasa kuteua mabosi wa TPA kutoka jeshini, wajeda hawanaga longolongo Wala porojo
Kama wanalunyasi🦁
Hire And Fire
MSD ilikwaje kwaniMh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ