Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Umalaya si "trait ya siasa"....deluded?!!!CCM ina watu wa ajabu ajabu sana, malaya wamejazana kila kona yeye anabaka binti wa miaka 16
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umalaya si "trait ya siasa"....deluded?!!!CCM ina watu wa ajabu ajabu sana, malaya wamejazana kila kona yeye anabaka binti wa miaka 16
Vipi mkuu wa wilaya mkuranga nimesikia ana maswala siyo poaRais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
View attachment 2967743
Hujaona kuwa DED kabaka kabinti ka miaka 16 aliyekuwa house girl wake? Jamaa anaweza kuwa ni mwana JF kadanganywa humu na akina rikiboyLugha sahihi ninkuwa wanoko wamempa mama barua Ili kusaini barua ya kumtengua KIUNO Mkurugenzi wa mafia kwakuwa Wana mtu wao wanatoka kumueka
CCM hawachelewi kubakaLeo kwenye mitandao kumesambaa habari za tukio la kigogo mmoja huko Mafia kubaka mtoto wa miaka 16.
At the same usiku huu imetoka press ya Zuhura Yunusu kwamba Mhe. Rais ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Huko Mafia....
Je, anahusika au alishiriki kuficha uovu?
Teacher arudi kufundishaNi aibu kubwa kwa makada hawa wa chama dola kongwe.
Mwl. Kassim S. Ndumbo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia 31 Julai, 2021
CCM ni wabakajiHujaona kuwa DED kabaka kabinti ka miaka 16 aliyekuwa house girl wake? Jamaa anaweza kuwa ni mwana JF kadanganywa humu na akina rikiboy
Ni kada wa CCM hawezi kupelekwaNa apelekwe mahakamani, utenguzi hautoshi.
Asante Bony yai
Chadema hawachelewi kuzushaCCM hawachelewi kubaka
Miaka 16 sio mtoto,ni mtu mzima kama wewe.CCM ina watu wa ajabu ajabu sana, malaya wamejazana kila kona yeye anabaka binti wa miaka 16
Ila hii kada ya ualimu imeelemewa sana na hili Pepo la ngonoNi aibu kubwa kwa makada hawa wa chama dola kongwe.
Mwl. Kassim S. Ndumbo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia 31 Julai, 2021
Mbona mko sawa tuHalafu atateua mwingine boya kama huyo , mnatusumbua tu
Uchafu wote upo CCMChadema hawachelewi kuzusha
Itakuwa alienda kwa mganga akaambiwa akibaka atapandishwa kuwa RASKumbe huyu mkurugenzi alibaka beki 3.
Sasa bwana Ndumbo naye hovyo kabisa. Yaani DED unamiliki mafungu ya wilaya na pisi kama zote unashindwa kuzifungulia zipu mpk unabaka beki 3??
Mkewe yuko wapi
PossiblyItakuwa alienda kwa mganga akaambiwa akibaka atapandishwa kuwa RAS