Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Leo kwenye mitandao kumesambaa habari za tukio la kigogo mmoja huko Mafia kubaka mtoto wa miaka 16.

At the same usiku huu imetoka press ya Zuhura Yunusu kwamba Mhe. Rais ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Huko Mafia....

Je, anahusika au alishiriki kuficha uovu?
CCM hawachelewi kubaka
 
CC:Waziri Gwajima
Tungependa Kuona Sana Sana Comment Yako Chap Na Kauli Ya Serikali
 
Ni aibu kubwa kwa makada hawa wa chama dola kongwe.

Mwl. Kassim S. Ndumbo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia 31 Julai, 2021
Ila hii kada ya ualimu imeelemewa sana na hili Pepo la ngono
 
Kumbe huyu mkurugenzi alibaka beki 3.

Sasa bwana Ndumbo naye hovyo kabisa. Yaani DED unamiliki mafungu ya wilaya na pisi kama zote unashindwa kuzifungulia zipu mpk unabaka beki 3??
 
Kumbe huyu mkurugenzi alibaka beki 3.

Sasa bwana Ndumbo naye hovyo kabisa. Yaani DED unamiliki mafungu ya wilaya na pisi kama zote unashindwa kuzifungulia zipu mpk unabaka beki 3??
Itakuwa alienda kwa mganga akaambiwa akibaka atapandishwa kuwa RAS
 
Back
Top Bottom