BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Damas J. Mfugale ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB).
Pia, Rais Samia amemteua Caroline J. Mutahanamilwa kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na Idd Ramadhan Mandi kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
===============