Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).

Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Damas J. Mfugale ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB).

Pia, Rais Samia amemteua Caroline J. Mutahanamilwa kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania na Idd Ramadhan Mandi kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria.

===============

 
Huu uteuzi uwe Chachu kuondoa matatizo ya Kuajiri makandarasi wabovu wanaosua sua katika miradi ya umeme wa REA, pia maswala ya mafuta na Maji ya EWURA imekuwa Kero kubwa ngoja tuone
 
Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)...
Kilichomtoa mkurugenzi mkuu wa EWURA kazini hiki hapa
 

Attachments

Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)...
Nawapongeza walioteuliwa Mungu akawape utumishi mwema sana tunawategemea sana sana
 
Huyu wa kutoka Canada yanaweza kumkuta ya Tido Mhando
 
RJK na JM ni Kampuni za nani??huyo aliyechukua nafasi ya U-DG EWURA ndie Mme wa Madam Spika Tulia,ni kunyonya Asali tu[emoji1787]
Walishasema mapema Chama kina wenyewe na wenyewe ndiyo haooooo!!!
 
UJINGA MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…