Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

Nafasi ya TTB na TIC zilitangazwa na Utumishi, inawezekana hapakuwa na mtu mwenye sifa ndio maana zimepatikana kwa uteuzi au itakuwa baada ya interview wamepita na kuchukuliwa kama ni kwa kuteuliwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…