Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

Japan wana watu wengi kuliko tanzania na eneo lao ni dogo ila wana mipango madhubuti
Je tanzania hilo wanalo au ndiyo bora liendeeee

Ova
Himaya mbalimbali kwenye historia zilikua kwa ikiwa moja ya kigezo ni ongezeko la watu,watu walioko karibu na Rais,waumize vichwa.
 
Ulisema watu waendelee kuzaliana, Sasa nikakuuliza, Unataka watu waendelee kuzaliana kwa huduma zipi za kuwatosheleza?
"Watu waendelee kuzaliana kwa wingi, na nchi iwekeze kwenye vipaumbele muhimu". Nilichoandika nihicho.
 
Kama yeye (rais) alizaliwa kwa nini alakamike watu wengine kuzaliwa ?
 
Kiongozi mkuu unashangaa na sisi tufanyeje sasa? Maana ya kuwa Rais ndio hio sasa, kuleta solution ya kila Jambo kupitia watalaam wanaokuzunguka.

Sasa kama hili nalo linawashangaza kazi yenu ni nini sasa huko ndani?
 
Sema
Ulisema watu waendelee kuzaliana, Sasa nikakuuliza, Unataka watu waendelee kuzaliana kwa huduma zipi za kuwatosheleza?
Sema mifumo mibovu tuu, wingi wa watu ni mtaji! Ukijuwa kuwatumia🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom