ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Feb 1, 2025 #21 mrangi said: Japan wana watu wengi kuliko tanzania na eneo lao ni dogo ila wana mipango madhubuti Je tanzania hilo wanalo au ndiyo bora liendeeee Ova Click to expand... Himaya mbalimbali kwenye historia zilikua kwa ikiwa moja ya kigezo ni ongezeko la watu,watu walioko karibu na Rais,waumize vichwa.
mrangi said: Japan wana watu wengi kuliko tanzania na eneo lao ni dogo ila wana mipango madhubuti Je tanzania hilo wanalo au ndiyo bora liendeeee Ova Click to expand... Himaya mbalimbali kwenye historia zilikua kwa ikiwa moja ya kigezo ni ongezeko la watu,watu walioko karibu na Rais,waumize vichwa.
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Feb 1, 2025 #22 Infropreneur said: Ulisema watu waendelee kuzaliana, Sasa nikakuuliza, Unataka watu waendelee kuzaliana kwa huduma zipi za kuwatosheleza? Click to expand... "Watu waendelee kuzaliana kwa wingi, na nchi iwekeze kwenye vipaumbele muhimu". Nilichoandika nihicho.
Infropreneur said: Ulisema watu waendelee kuzaliana, Sasa nikakuuliza, Unataka watu waendelee kuzaliana kwa huduma zipi za kuwatosheleza? Click to expand... "Watu waendelee kuzaliana kwa wingi, na nchi iwekeze kwenye vipaumbele muhimu". Nilichoandika nihicho.
Yoso JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 954 Reaction score 1,417 Feb 1, 2025 #23 Kama yeye (rais) alizaliwa kwa nini alakamike watu wengine kuzaliwa ?
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 1, 2025 #24 Yoda said: Kwa hili wafahidhina wa dini na conspiracies watampinga sana Click to expand... Tuliishambiwa na Mwamba Magufuli tufyatue tu watoto kwani nchi hii ni tajiri!
Yoda said: Kwa hili wafahidhina wa dini na conspiracies watampinga sana Click to expand... Tuliishambiwa na Mwamba Magufuli tufyatue tu watoto kwani nchi hii ni tajiri!
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Feb 1, 2025 #25 Kiongozi mkuu unashangaa na sisi tufanyeje sasa? Maana ya kuwa Rais ndio hio sasa, kuleta solution ya kila Jambo kupitia watalaam wanaokuzunguka. Sasa kama hili nalo linawashangaza kazi yenu ni nini sasa huko ndani?
Kiongozi mkuu unashangaa na sisi tufanyeje sasa? Maana ya kuwa Rais ndio hio sasa, kuleta solution ya kila Jambo kupitia watalaam wanaokuzunguka. Sasa kama hili nalo linawashangaza kazi yenu ni nini sasa huko ndani?
K Kadoone Senior Member Joined Sep 1, 2015 Posts 138 Reaction score 109 Feb 1, 2025 #26 Sema Infropreneur said: Ulisema watu waendelee kuzaliana, Sasa nikakuuliza, Unataka watu waendelee kuzaliana kwa huduma zipi za kuwatosheleza? Click to expand... Sema mifumo mibovu tuu, wingi wa watu ni mtaji! Ukijuwa kuwatumia🤔🤔🤔
Sema Infropreneur said: Ulisema watu waendelee kuzaliana, Sasa nikakuuliza, Unataka watu waendelee kuzaliana kwa huduma zipi za kuwatosheleza? Click to expand... Sema mifumo mibovu tuu, wingi wa watu ni mtaji! Ukijuwa kuwatumia🤔🤔🤔