Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii.

Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo wa kuendelea na fani hizo kwani ajira zipo na zinaendelea kutolewa.
 
Mkuu na ya waziri mkuu majaliwa nachingwea majuzi ya kibali cha askari wanyamapori 6000 imekaaje? Hebu tupe muongozo vizuri hapo
 
Source ?
 
Hahahahaha! Mpaka leo kimya kwenye hizo nafasi 6,000. Mwezi wa 5 zilitangazwa nafasi 20 tu za Maafisa Wanyamapori nazo mpaka leo hakuna interview. #Politics
 
Hahahahaha! Mpaka leo kimya kwenye hizo nafasi 6,000. Mwezi wa 5 zilitangazwa nafasi 20 tu za Maafisa Wanyamapori nazo mpaka leo hakuna interview. #Politics
Hizi nafasi usaili umeitwa kikanda hebu fuatilia vizuri.
 
Hao sio Askari Wanyamapori, ni Maafisa Wanyamapori.
Mwajiri ni MDAs na LGAs sio TANAPA wala TAWA wala NCAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…