Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii.

Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo wa kuendelea na fani hizo kwani ajira zipo na zinaendelea kutolewa.

Hizo ajira si za utalii tu. Taasis za maliasili zina uhitaji wa askari ambao ndio kipaombele. Na pia wanaajiri professionals wengine si hao tu.
 
Back
Top Bottom