Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba.
Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.
Tumesema mara nyingi humu jukwaani huyu mama kachanganyikiwa sana na CHADEMA na anawawaza saa zote. Tundu Lissu anampa sleepless night huyu.
Jionee.