Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina.... akasema mpeni Tundu Lissu!!
Simba ni mtawala na ni mfalme... ana nguvu na akili sana.... Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba....
Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.
Tumesema mara nyingi humu jukwaani huyu mama kachanganyikiwa sana na CHADEMA na anawawaza saa zote. Tundu Lissu anampa sleepless night huyu bibi.
Jionee::::
View: https://youtu.be/UXFoyKtbEEA?si=h1mfrqvHJnRrPrh7
🤣🤣🤣🤣Walishapanga na kukubaliana
Kama hawakukubaliana basi Jumatatu utasikia moto umewaka mahakamani
Kweli kabisa ongezea kuwa ccm yote ikiunganizha akili ndio wamfikie Lissu🤣🤣Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anamkubali sana Tundu Lissu ni vile tu anashindwa namna ya kumuingilia maana uwezo binafsi wa Lissu ni zaidi ya baraza lake la Mawaziri..
Kwa kipi sasa? Kumuita lissu Simba?Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Hatari sana ! 😅😂Unatamani wewe ndio ungeitwa hata Simbilisi tu au Panya ungefurahia sana 😂😂😂
Mama anazijua Siasa zilivyo ! 🙏Kazi kwisha kabisa
Achana na Green guard huyo!Ninyi ndio mnaofanya siasa kuwa ni ugomvi,mama wa watu hapo kaleta utani wakirafiki kabisa Ila ninyi machawa roho inawauma mnataka kuketa sifa zenu za kijinga.
Uko sawa kwa 100%Simba ni ishara kubwa sana katika ulimwengu wa roho...hata Yesu tunamwita Simba wa Yuda!! Huyu bibi panic zake zitamponza!! Yawezekana katamka bila kujijua ila ardhi imeandika....
Yeye alijiita chui leo kampa usimba Lissu upo?
Wengine hawajaona Hilo Tu Hilo nusu Katika 1000Kwa kipi sasa? Kumuita lissu Simba?
Mkuki kwa nguruweNinyi ndio mnaofanya siasa kuwa ni ugomvi,mama wa watu hapo kaleta utani wakirafiki kabisa Ila ninyi machawa roho inawauma mnataka kuketa sifa zenu za kijinga.