Kafungiwa ,hayupo huru......Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Nani huyoKafungiwa ,hayupo huru......
Walishapanga na kukubalianaAkiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina.... akasema mpeni Tundu Lissu!!
Amekubali yaisheAkiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina...
Inadhihirisha kuwa Lissu ni kiboko yake, hampi usingizi mzuriAkiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina.... akasema mpeni Tundu Lissu...
Kawaida tu mkuu ni kama Simba wa Yuda.Simba ni ishara kubwa sana katika ulimwengu wa roho...hata Yesu tunamwita Simba wa Yuda!! Huyu bibi panic zake zitamponza!! Yawezekana katamka bila kujijua ila ardhi imeandika....
Yeye alijiita chui leo kampa usimba Lissu upo?
Je, yeye mwenyewe Tundu Lissu ameridhia Jina lake kupewa huyo mnyama Simba?Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina...