Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia Suluhu ameadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa msamaha kwa wafungwa 5001 waliokuwa na adhabu za vifungo mbalimbali.

Kati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa huru baada ya kupunguziwa robo ya adhabu ya vifungo vyao. 3495 waliopunguziwa robo ya adhabu zao wataendelea kutumikia vifungo vilivyobaki.

Rais Samia amewataka walioachiwa huru kutumia vyema mafunzo waliyoyapata wakiwa jela ili wayatumie katika kujenga taifa kwa kuzingatia sheria.

1619448143310.png
 
Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Jamaa alikuwa na uwezo wa kuvamia birthday ya mtoto halafu akachukua mic watu wamuone yeye wamuimbie yeye happy birthday.

Yani mpaka kanisani alikuwa anashindwa kujizuia nyege zake za mic!
 
Tunawaachia wafungwa mahabusu wanabaki ambao hawafanyi kazi, si mora tungewaachia mahabusu tukaacha wafungwa, wapo mahabusu wamekaa jela miaka mitano na zaidi unakuja achia mfungwa aalliyebakiza wiki mbili. Ifike wakati sasa tufikirie kuwaachia mahabusu ambao hata upelelezi haueleki wanasota tu jela kisa umasikini wao au kukomoana tu.
 
Jamaa alikuwa na uwezo wa kuvamia birthday ya mtoto halafu akachukua mic watu wamuone yeye wamuimbie yeye happy birthday.

Yani mpaka kanisani alikuwa anashindwa kujizuia nyege zake za mic!
Ni miaka 68 sasa, hujajitambua tu kwamba wewe ni mtu mzima na mvi zimetapakaa, Bado unaendekeza masikhala tu hata Kwenye kuwa siriazi siyo?
 
Jamaa alikuwa na uwezo wa kuvamia birthday ya mtoto halafu akachukua mic watu wamuone yeye wamuimbie yeye happy birthday.

Yani mpaka kanisani alikuwa anashindwa kujizuia nyege zake za mic!
Bado tu unaendelea kuumizwa na mtu aliyekufa Hadi Leo?
 
Bado tu unaendelea kuumizwa na mtu aliyekufa Hadi Leo?
Magufuli hakuwa na uwezo wa kuniumiza wakati akiwa hai, ataniumiza leo wakati maiti yake inaoza na kuliwa na funza?

Kwani mimi kusema ukweli Magufuli alikuwa anapenda sifa wewe ushaona kaniumiza?

Unapata wapi muunganiko w akimantiki katika haya mambo mawili ambayo hayana muunganiko?

Ukijiharishia halafu mimi nikasema umejiharishia hapo ni lazima uwe umeniumiza? Siwezi kusema umejiharishia kwa kusema ukweli tu kwamba umejiharishia?
 
Back
Top Bottom