Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Msamaha Kama huu wa rais ndio uliomtoa Ismael Aden Rage na TID ndani ya mahandaki.
 
Eh[emoji23][emoji23]
Nyerere alikuwa anaenda kanisani kusali kila siku.

Kila siku alivyokuwa Dar, alikuwa anasimama kanisa la St. Peters Oysterbay, akiwa njiani kutoka Msasani kwenda Ikulu.

Huyu Mzee alikuwa si Mkristo wa Jumapili mpaka Jumapili. Alikuwa anasali kanisani kila siku.

Lakini hakuna hata siku moja Nyerere aliyokwenda mbele kanisani pale St. Peters akasema neno.

Nishasali naye kanisani St. Peters, hakuna siku Nyerere aliyoenda mbele pale.

Mkapa yeye alikuwa Mkatoliki wa kuingia kanisani kimagutu, yeye sakramenti yake ilikuwa kwenye atering holes za Palm Beach Upanga, pombe za Uskochi kuliko sakramenti ya kanisani.

Lakini na yeye alivyokuwa rais alisali Upanga St. Immaculata. Tumemuona miaka yake yote ya urais anasali pale.

Sikumbuki hata siku moja Mkapa kaenda mbele kanisani kutoa neno.

Hawa washua walijua falsafa za "separation of church and state".

Sasa kaja huyu rais mshamba mlugaluga hajui separation of church and state ni nini, mara nyingi sana anaenda kanisani halafu anaenda mbele, anaingilia watu kazi zao, anafikiri kwa sababu yeye rais yuko juu ya kanisa, anaanza kuwasema mpaka maaskofu na watawa kanisani.

Jamaa alikuwa bonge la mshamba!
 
Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Mungu alipona mbali kutuumba tofauti, fikiria hata alama za
Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Ndio maana Mungu katuumba tofauti, fikiria hata alama za vidole, uwezekano wa watu wawili kuwa na alama za vidole zinazofanana ni 2 kea kila watu 64 billion!
The Chance of Identical Fingerprints: 1 in 64 trillion ..
 
Kiranga hapo umeyumba mzeebaba.
Uzuri ni kwamba mimi sitegemei wewe kuniambia wapi nimeyumba.

Hususan kama huna hata uwezo wa kuniambia haya.

1. Unapoandika "hapo", unamanisha wapi? Paoneshe hapo "hapo" ni wapi.

2. Una sababu gani za kimantiki za kuonesha nimeyumba, zitaje tuzijadili.

3. Umejiridhishaje kwamba wewe una uwezo wa kuniambia mimi nimeyumba, na hilo ni kweli, na si wewe uliyeyumba na kuniona mimi nimeyumba kwa sabbau ya "apparent motion"?

Jibu kwa kina tujadili.

Unapojibizana nami usiandike kizembezembe tu.
 
Si kosa kabisa. Si kosa kinamna yoyote ile.

Kudokeza kuwa ni kosa, ni upumbavu tu.

Hakuna mwenye uhakika wa hata sekunde ijayo.

Kifo ni sehemu ya maisha. Nani anayeweza kunena kwa uthabiti kwamba Rais aliyeko madarakani sasa hivi kesho ataamka akiwa hai?

Nitamlaumu kwa mengine lakini siwezi kumlaumu kwa hiyo hali yake ya moyo aliyokuwa nayo!

Haikumzuia kufanya kazi zake.
Kinachowafanya watu washangae ni jinsi ambavyo alikuwa anajiachia free bila kuchukuwa tahadhari ya corona wakati anajua kuwa ana tatizo la moyo. Ulisikia ile hotuba yake kanisani siku ya mwisho kuonekana kanisani? Alikuwa anawaulaumu wazi wazi watu wanaosema tuchukuwe tahadhari ya corona. Tena akaenda mbali zaidi na kusema wale walinzi wake hajui hata jana walilala kwenye mazingira gani lakini hilo halimpi shida. Viongozi wa kanisa walipotangaza mapadri wao wamekufa hivyo waumini wachukue tahadhari yeye aliingilia kuwalaumu. Jamaa alikuwa na tatizo kubwa sana la akili si bure.
 
mwaka jana kuna tukio lilitokea huko Mkoani Njombe, Mfungwa alinufaika na msamaha wa Rais lkn siku iliyo fuata aliamka na kwenda kuvunja na kuiba.

Hii ili thibitisha kuwa wanao ingizwa kwenye msamaha wa Rais hawachunguzwi vyema na hivyo kusababisha uhalifu kuongezeka uraiani.

Ni Muhimu kwa vyombo vyetu kufanya tathimini kwa uadilifu kabla ya kuwaingiza ktk msamaha,

lkn pia kuwe na utaratibu wa kufuatilia mwenendo wa waliotoka kwa msamaha.
 
Uzuri ni kwamba mimi sitegemei wewe kuniambia wapi nimeyumba.

Hususan kama huna hata uwezo wa kuniambia haya.

1. Unapoandika "hapo", unamanisha wapi? Paoneshe hapo "hapo" ni wapi.

2. Una sababu gani za kimantiki za kuonesha nimeyumba, zitaje tuzijadili.

3. Umejiridhishaje kwamba wewe una uwezo wa kuniambia mimi nimeyumba, na hilo ni kweli, na si wewe uliyeyumba na kuniona mimi nimeyumba kwa sabbau ya "apparent motion"?

Jibu kwa kina tujadili.

Unapojibizana nami usiandike kizembezembe tu.

[emoji3][emoji3][emoji3] kiranga kama ulisali na nyerere kanisa moja basi kubali tu umri umeenda ata maswali yako yanaonyesha umri wako umefikia muda wa kufuturu. Jaribu kwenda nao mdogo mdogo uzuri ushapata chanjo ya corona. Sina majibu ya maswali yako kuhusu wewe kuyumba ila jiongenze tu
 
Kinachowafanya watu washangae ni jinsi ambavyo alikuwa anajiachia free bila kuchukuwa tahadhari ya corona wakati anajua kuwa ana tatizo la moyo. Ulisikia ile hotuba yake kanisani siku ya mwisho kuonekana kanisani? Alikuwa anawaulaumu wazi wazi watu wanaosema tuchukuwe tahadhari ya corona. Tena akaenda mbali zaidi na kusema wale walinzi wake hajui hata jana walilala kwenye mazingira gani lakini hilo halimpi shida. Viongozi wa kanisa walipotangaza mapadri wao wamekufa hivyo waumini wachukue tahadhari yeye aliingilia kuwalaumu. Jamaa alikuwa na tatizo kubwa sana la akili si bure.
Naona umezungumzia kitu tofauti kabisa na nilichokizungumzia mimi!

Suala la yeye kutokuchukua tahadhari wakati anajijua ana tatizo la moyo, sipingani nalo.

Pia, sikukubaliana na yeye kuwazodoa watu waliokuwa wanavaa barakoa.

Jambo ninalopingana nalo ni hili la kudai au kudokeza kuwa hakupaswa kugombea urais kwa sababu alikuwa na ugonjwa wa moyo.

Kwamba, ni kama vile ni makosa kwa yeye kufa akiwa Rais!

Huo ni upumbavu tu.

Yeye kufa akiwa Rais si makosa. Yeye kugombea urais akiwa na ugonjwa wa moyo si kosa pia.

Kesho Rais Samia akifa kwa ugonjwa wowote ule, wewe utamlaumu? Utamlaumu kwa kutufia akiwa madarakani?

Sijui ni akili gani tu hizo!

Yeyote yule anaweza kufa popote pale na kwa sababu yoyote ile.

Rais akifa akiwa madarakani, si kosa. Si kesi wala jinai. Ni sehemu ya maisha tu hiyo.
 
Rais Samia Suluhu ameadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa msamaha kwa wafungwa 5001 waliokuwa na adhabu za vifungo mbalimbali

Kati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa huru baada ya kupunguziwa robo ya adhabu ya vifungo vyao. 3495 waliopunguziwa robo ya adhabu zao wataendelea kutumikia vifungo vilivyobaki

Rais Samia amewataka walioachiwa huru kutumia vyema mafunzo waliyoyapata wakiwa jela ili wayatumie katika kujenga taifa kwa kuzingatia sheria

View attachment 1764894
Wakati tunaendelea kutafuta maridhiano ya kitaifa nategemea haya katika msamaha wa mh rais
1, watumishi wa mungu dini za wenzetu masheik kuachiwa hata Kama nimekosea andika vizuri
2. WENYE kesi za kisiasa, mfano MDUDE WA CHADEMA, NK, Maana yapunguza lahana KWA nchi, MDUDE hakuwahi kuhuza madawa katika jina la BWANA Alie hai , ni Kama tu KWA chuki binfsi ya GWAJIMA, mh Mbowe walipotajwa na MAKONDAKTA, na dhambi hii itamtafuna mpaka kifo asema BWANA why usingizie mtu kisa unayo mamlaka
Kesi za kuhujum uchumi Kama lugemalila n.k wataondoka , MUNGU MBARIKI,SSH RAIS, mungu bariki watanzania
 
Ni miaka 68 sasa, hujajitambua tu kwamba wewe ni mtu mzima na mvi zimetapakaa, Bado unaendekeza masikhala tu hata Kwenye kuwa siriazi siyo?
Kama ni kweli ulichoandika hapa...huku ni kumshambulia mtu na kuanika taarifa zake bila idhini yake

Kibinadamu sio sawa pia sheria za jf haziruhusu.

Pambana na hoja, usimsulubu mleta hoja.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kiranga kama ulisali na nyerere kanisa moja basi kubali tu umri umeenda ata maswali yako yanaonyesha umri wako umefikia muda wa kufuturu. Jaribu kwenda nao mdogo mdogo uzuri ushapata chanjo ya corona. Sina majibu ya maswali yako kuhusu wewe kuyumba ila jiongenze tu
Karanga kajenga hoja za msingi wew jadili kwa hoja. Onyesha kilichoyumba kwa jamaa kama ni mkono jino au nini kimeyumba? Acha porojo
 
Magufuli ni rais aliyeitukanisha Tanzania kuliko rais mwingine yeyote, bisha twende blow by blow kwa data hapa.

Bisha.
Watanzania baadhi mna shida sana.Hata siku moja hamuwezi kuridhika hata ashuke malaika kuongoza nchi.Tulilia sana taifa lilipotea kwa ufisadi na ukosefu wa uzalendo akaja kiongozi shupavu aliyeziba mianya yote ya rushwa na kirudisha nidhamu ya utumishi wa uma na kuukarabati uchumi mpaka kufikia kati lakini bado kuna wapuuzi wachache kama nyie ambao mpo tu kupotosha watu.Inasikitisha

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Si kosa kabisa. Si kosa kinamna yoyote ile.

Kudokeza kuwa ni kosa, ni upumbavu tu.

Hakuna mwenye uhakika wa hata sekunde ijayo.

Kifo ni sehemu ya maisha. Nani anayeweza kunena kwa uthabiti kwamba Rais aliyeko madarakani sasa hivi kesho ataamka akiwa hai?

Nitamlaumu kwa mengine lakini siwezi kumlaumu kwa hiyo hali yake ya moyo aliyokuwa nayo!

Haikumzuia kufanya kazi zake.
Nuance ma dude, nuance.

Huyo unayemnukuu hajui kusoma kwa ufahamu, labda unukuu alichonukuu tujadiliane.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kiranga kama ulisali na nyerere kanisa moja basi kubali tu umri umeenda ata maswali yako yanaonyesha umri wako umefikia muda wa kufuturu. Jaribu kwenda nao mdogo mdogo uzuri ushapata chanjo ya corona. Sina majibu ya maswali yako kuhusu wewe kuyumba ila jiongenze tu
Wewe mpaka nikwambie nilimbikiri Bibi yako mzaa mama ndiyo utaleta heshima hapa?
 
Back
Top Bottom