Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima ipi wewee Qengay? Kuiba rambirambi ndo heshima?Pumbavu kabisa wewe kumtusi mtu aliyeijengea heshima Tanzania
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nyerere alikuwa anaenda kanisani kusali kila siku.Eh[emoji23][emoji23]
Chuki za kijinga zipi? Zangu mie au alizokuwa anafanya Magufuli kuwazodoa watu wasivae barakoa hata kanisani?
Mungu alipona mbali kutuumba tofauti, fikiria hata alama zaAngekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Ndio maana Mungu katuumba tofauti, fikiria hata alama za vidole, uwezekano wa watu wawili kuwa na alama za vidole zinazofanana ni 2 kea kila watu 64 billion!Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Uzuri ni kwamba mimi sitegemei wewe kuniambia wapi nimeyumba.Kiranga hapo umeyumba mzeebaba.
Kinachowafanya watu washangae ni jinsi ambavyo alikuwa anajiachia free bila kuchukuwa tahadhari ya corona wakati anajua kuwa ana tatizo la moyo. Ulisikia ile hotuba yake kanisani siku ya mwisho kuonekana kanisani? Alikuwa anawaulaumu wazi wazi watu wanaosema tuchukuwe tahadhari ya corona. Tena akaenda mbali zaidi na kusema wale walinzi wake hajui hata jana walilala kwenye mazingira gani lakini hilo halimpi shida. Viongozi wa kanisa walipotangaza mapadri wao wamekufa hivyo waumini wachukue tahadhari yeye aliingilia kuwalaumu. Jamaa alikuwa na tatizo kubwa sana la akili si bure.Si kosa kabisa. Si kosa kinamna yoyote ile.
Kudokeza kuwa ni kosa, ni upumbavu tu.
Hakuna mwenye uhakika wa hata sekunde ijayo.
Kifo ni sehemu ya maisha. Nani anayeweza kunena kwa uthabiti kwamba Rais aliyeko madarakani sasa hivi kesho ataamka akiwa hai?
Nitamlaumu kwa mengine lakini siwezi kumlaumu kwa hiyo hali yake ya moyo aliyokuwa nayo!
Haikumzuia kufanya kazi zake.
Uzuri ni kwamba mimi sitegemei wewe kuniambia wapi nimeyumba.
Hususan kama huna hata uwezo wa kuniambia haya.
1. Unapoandika "hapo", unamanisha wapi? Paoneshe hapo "hapo" ni wapi.
2. Una sababu gani za kimantiki za kuonesha nimeyumba, zitaje tuzijadili.
3. Umejiridhishaje kwamba wewe una uwezo wa kuniambia mimi nimeyumba, na hilo ni kweli, na si wewe uliyeyumba na kuniona mimi nimeyumba kwa sabbau ya "apparent motion"?
Jibu kwa kina tujadili.
Unapojibizana nami usiandike kizembezembe tu.
Kayafa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Ilikua tekniki yake ya kupendwa na wananchi wanyonge wenye uji badala ya ubongoAngekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Kuwa na kiasi mkuu.....nyege zake za mic!
Naona umezungumzia kitu tofauti kabisa na nilichokizungumzia mimi!Kinachowafanya watu washangae ni jinsi ambavyo alikuwa anajiachia free bila kuchukuwa tahadhari ya corona wakati anajua kuwa ana tatizo la moyo. Ulisikia ile hotuba yake kanisani siku ya mwisho kuonekana kanisani? Alikuwa anawaulaumu wazi wazi watu wanaosema tuchukuwe tahadhari ya corona. Tena akaenda mbali zaidi na kusema wale walinzi wake hajui hata jana walilala kwenye mazingira gani lakini hilo halimpi shida. Viongozi wa kanisa walipotangaza mapadri wao wamekufa hivyo waumini wachukue tahadhari yeye aliingilia kuwalaumu. Jamaa alikuwa na tatizo kubwa sana la akili si bure.
Labda mpaka wahukumiwe ndipo itampa Rais mamlaka ya msamahaUamsho hawajaachiwa?
Au wanaachiwa wagonjwa tu?
Wakati tunaendelea kutafuta maridhiano ya kitaifa nategemea haya katika msamaha wa mh raisRais Samia Suluhu ameadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa msamaha kwa wafungwa 5001 waliokuwa na adhabu za vifungo mbalimbali
Kati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa huru baada ya kupunguziwa robo ya adhabu ya vifungo vyao. 3495 waliopunguziwa robo ya adhabu zao wataendelea kutumikia vifungo vilivyobaki
Rais Samia amewataka walioachiwa huru kutumia vyema mafunzo waliyoyapata wakiwa jela ili wayatumie katika kujenga taifa kwa kuzingatia sheria
View attachment 1764894
Kama ni kweli ulichoandika hapa...huku ni kumshambulia mtu na kuanika taarifa zake bila idhini yakeNi miaka 68 sasa, hujajitambua tu kwamba wewe ni mtu mzima na mvi zimetapakaa, Bado unaendekeza masikhala tu hata Kwenye kuwa siriazi siyo?
Karanga kajenga hoja za msingi wew jadili kwa hoja. Onyesha kilichoyumba kwa jamaa kama ni mkono jino au nini kimeyumba? Acha porojo[emoji3][emoji3][emoji3] kiranga kama ulisali na nyerere kanisa moja basi kubali tu umri umeenda ata maswali yako yanaonyesha umri wako umefikia muda wa kufuturu. Jaribu kwenda nao mdogo mdogo uzuri ushapata chanjo ya corona. Sina majibu ya maswali yako kuhusu wewe kuyumba ila jiongenze tu
Watanzania baadhi mna shida sana.Hata siku moja hamuwezi kuridhika hata ashuke malaika kuongoza nchi.Tulilia sana taifa lilipotea kwa ufisadi na ukosefu wa uzalendo akaja kiongozi shupavu aliyeziba mianya yote ya rushwa na kirudisha nidhamu ya utumishi wa uma na kuukarabati uchumi mpaka kufikia kati lakini bado kuna wapuuzi wachache kama nyie ambao mpo tu kupotosha watu.InasikitishaMagufuli ni rais aliyeitukanisha Tanzania kuliko rais mwingine yeyote, bisha twende blow by blow kwa data hapa.
Bisha.
Nuance ma dude, nuance.Si kosa kabisa. Si kosa kinamna yoyote ile.
Kudokeza kuwa ni kosa, ni upumbavu tu.
Hakuna mwenye uhakika wa hata sekunde ijayo.
Kifo ni sehemu ya maisha. Nani anayeweza kunena kwa uthabiti kwamba Rais aliyeko madarakani sasa hivi kesho ataamka akiwa hai?
Nitamlaumu kwa mengine lakini siwezi kumlaumu kwa hiyo hali yake ya moyo aliyokuwa nayo!
Haikumzuia kufanya kazi zake.
Wewe mpaka nikwambie nilimbikiri Bibi yako mzaa mama ndiyo utaleta heshima hapa?[emoji3][emoji3][emoji3] kiranga kama ulisali na nyerere kanisa moja basi kubali tu umri umeenda ata maswali yako yanaonyesha umri wako umefikia muda wa kufuturu. Jaribu kwenda nao mdogo mdogo uzuri ushapata chanjo ya corona. Sina majibu ya maswali yako kuhusu wewe kuyumba ila jiongenze tu