Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Kuna binadam ambaye hapendi sifa? Kama alikukera sana kafukue maiti yake uiadhibu Kama huwez kufukua basi kausha. JPM hukumfaham wewe peke yako bali site tulimfaham.Magufuli hakuwa na uwezo wa kuniumiza wakati akiwa hai, ataniumiza leo wakati maiti yake inaoza na kuliwa na funza?
Kwani mimi kusema ukweli Magufuli alikuwa anapenda sifa wewe ushaona kaniumiza?
Unapata wapi muunganiko w akimantiki katika haya mambo mawili ambayo hayana muunganiko?
Ukijiharishia halafu mimi nikasema umejiharishia hapo ni lazima uwe umeniumiza? Siwezi kusema umejiharishia kwa kusema ukweli tu kwamba umejiharishia?
Yupo wapi binadam aliyeumbwa akakamilika?