Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wapo watakaojirudisha wenyewe jelaKati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa huru baada ya kupunguziwa robo ya adhabu ya vifungo vyao. 3495 waliopunguziwa robo ya adhabu zao wataendelea kutumikia vifungo vilivyobaki.