Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Kuna binadam ambaye hapendi sifa? Kama alikukera sana kafukue maiti yake uiadhibu Kama huwez kufukua basi kausha. JPM hukumfaham wewe peke yako bali site tulimfaham.

Yupo wapi binadam aliyeumbwa akakamilika?
 
Kuna binadam ambaye hapendi sifa? Kama alikukera sana kafukue maiti yake uiadhibu Kama huwez kufukua basi kausha. JPM hukumfaham wewe peke yako bali site tulimfaham.

Yupo wapi binadam aliyeumbwa akakamilika?
Wewe huwezi kunipangia cha kusema, haya muimbie sifa basi huyo Mungu wako Magu fool.

Kwani wapi nimekwambia kuna mtu kakamilika?

Mbona unaleta vitu vilivyo nje ya mjadala kwa mantiki za makamasi?

Unaelewa kwamba kama hakuna mtu ambaye kakamilika hiyo si excuse ya vichaa wenye ugonjwa wa moyo kwenda kugombea urais?
 
Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Nina uhakika waifu wako watu wanamgonga sana ila wewe kwakuwa una kichwa panzi unamsingizia kayafa
 
Kugombea urais ukiwa na ugonjwa wa moyo ni kosa kisheria? Unadhan angekuwa Hana ugonjwa wa moyo angeishi milele?
 
Sasa mbona unamuwaza hadi unaota?

Hata mkigegedewa wake zenu kwa ujinga wenu mtasingizia Magufuli.

Mataahira kabisa nyie
 
Kugombea urais ukiwa na ugonjwa wa moyo ni kosa kisheria? Unadhan angekuwa Hana ugonjwa wa moyo angeishi milele?
Kawadanganya watu yuko fit mpaka kapiga pushup, hajasema anaumwa ugonjwa wa moyo.

Mwishowe kapewa kazi ngumu yenye msongo wa mawazo, katufia akiwa rais, kwa tamaa ya madaraka na hadaa.

Magufuli Babu Jinga hakujua kwamba afya yake haimruhusu kufanya kazi ya rabsha kama urais, kaiweka afya yake rehani kwa uchu wa madaraka.

Zaidi, kakataa ushauri wa wataalamu kijinga, kakataa chanjo, kakataa barakoa. Jitu lilikuwa na Ph.D ya Chemistry lakini jinga kabisa.

Kifo kikampiga daflao. Nyerere alisema ukichezea moto utaungua tu, na ni haki yako uungue, umechezea moto mwenyewe.

Magufuli alichezea moto, kaungua.

Wewe mjinga ushazoea kudanganywa huwezi kuelewa kwamba hili ni kosa.
 
Wewe pamoja na ukoo wako mnakufa kwa umasikini alafu unamletea marehemu hasira hapa?

Kama si utaahira ni nini?
 
Hivi haiwezi KUTOKEA siku rais akatoa msamaha Kwa wafungwa wote TANZANIA.?
 
Jamaa alikuwa na uwezo wa kuvamia birthday ya mtoto halafu akachukua mic watu wamuone yeye wamuimbie yeye happy birthday.

Yani mpaka kanisani alikuwa anashindwa kujizuia nyege zake za mic!
Eh😂😂
 
Kugombea urais ukiwa na ugonjwa wa moyo ni kosa kisheria? Unadhan angekuwa Hana ugonjwa wa moyo angeishi milele?
Si kosa kabisa. Si kosa kinamna yoyote ile.

Kudokeza kuwa ni kosa, ni upumbavu tu.

Hakuna mwenye uhakika wa hata sekunde ijayo.

Kifo ni sehemu ya maisha. Nani anayeweza kunena kwa uthabiti kwamba Rais aliyeko madarakani sasa hivi kesho ataamka akiwa hai?

Nitamlaumu kwa mengine lakini siwezi kumlaumu kwa hiyo hali yake ya moyo aliyokuwa nayo!

Haikumzuia kufanya kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…