Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

Kati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa huru baada ya kupunguziwa robo ya adhabu ya vifungo vyao. 3495 waliopunguziwa robo ya adhabu zao wataendelea kutumikia vifungo vilivyobaki.
Wapo watakaojirudisha wenyewe jela
 
Kwa kugha unayotumia kuwasilisha hoja zako mh!, zinaonesha kiwango chako cha ufahamu, tabia na huruka yako.
 
Kwa kugha unayotumia kuwasilisha hoja zako mh!, zinaonesha kiwango chako cha ufahamu, tabia na huruka yako.
Tatizo hujui tofauti ya "hulka" na "huruka".

Wewe ni mshamba hata uandishi wako unaonesha.

Jifunze Kiswahili kwanza kabla ya kujishebedua kujadiliana nami.

Ungekuwa umekosea Kiingereza ningesema lugha ya mkoloni imekuja na meli, sasa wewe Mkonongo wa wapi hata Kiswahili hujui unakuja kujitutumua hapa?

Acha kudandia mambo usiyoweza hata kuyaandika kwa Kiswahili.
 
Ujumbe umefika
 
Angekuwa ni Kayafa angeshajitokeza hadharani kueleza kuwa alitakiwa anyonge watu, ila kutokana na ucha-Mungu wake amewasamehe! Ili Apate sifa
Hebu jamani mwacheni JPM apumzike hamchoki kila kitu mama akisema eti nikizuri zaidi ya JPM. JPM kaacha historia miaka mitano tu sio tz ile... Kiwango chake chajuuu hata mama anapimwa kwa kiwango cha JPM...
Mwacheni mama afanye kazi baada ya miaka 5 ndo tutajua mbivu na mbichi
 
Ujumbe ukiuona utaujua?
Naona ujumbe wangu ulikugusa! Tunatofautiana katika kauli (siyo lugha maana umedai sijui Kiswahili na lugha unayoitukuza) katika kuwasilisha hoja na mawasiliano. Mwungwana hupimwa kwa maneno ayatamkayo.
 
Kwani nani kakwambia mimi muungwana (si Mwungana) au nataka kuwa muungwana?

Unasema tunatofautiana, halafu unataka kunipima kwa vipimo vyako tofauti na vyangu?

Wewe unaelewa hata mwenyewe umesimamia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…