Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Yaani Magufuli ni rais mstaafu halafu unajiita mwandishi wa shughuli za Ikulu?
 
Mbona hakuna waliokuwa Tanu wakati ule na sasa wako upinzani? Hawa baadhi yao hatuoni walichokifanya zaidi ya kutumikia ofisi zao kutokana na ajira zao.
 
miundombinu mibovu, ripoti ya CAG inatisha, bajeti kujikita zaidi kwenye matumizi ya kawaida, kupeleka nguvu nyingi kwenye siasa za chama tawala na kusahau majukumu yao serikalini!
Tutawaadabisha lini hawa waelewe serikali ni yetu raia na siyo yao?!
TUAMKE RAIA HAWANA UPENDO NASI WALA NCHI HAWA...
 
Unakumbuka The Arab springs iliyoangusha tawala nyingi za kidekta hapa Africa? Kuna mwamba mmoja alichoshwa na utawala wa hovyo wa nchi yake akaenda karibu na ikulu akajimimia petrol kisha akajitia kibiriti akatekea huku akiacha msg kwamba Bora kufa kuliko kutawaliwa kidwanzi. Baada ya hapo waarabu wakalianzisha.

UNAONAJE MZEE UKISOGEA PALE CHAMWINO UKAFANYA THE SAME,? Tutakuunga mkono boss
 
Hawa akina Etwege ni hovyo sana.
 
Hawa tuwa Senegalise tu ....
Wamejisahau sana, wabinafsi, kujali maslahi yao na familia zao tu...
Enough is enough kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…