Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Daaah Mama kanyaga twende
 
sikia, sote tunampenda mama, lakini ninachotajiru kukwambia ni kwamba, hizo hela hajatoa mfukoni mwake, hana hela kama hizo. ni hela za serikali, sema serikali imetoa. over.
Kpnd cha mzee magu mlikuwa mnamu adress kama ndo anatoa pesaa...mbona imekuwa nongwa tukisema samia katoa hela?
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
A Acha uongo wako mnapo kuja kusifia tumieni akili kidogo,wakati magufuri ana fariki mkandarasi tayari alikua site,wewe unakuja na ngonjera za uongo uongo,kwani kama ungesema kwamba samia ametoa pesa,ili kuendeleza ujenzi wa uwanja wa msoma unge pungukiwa nini au unazani ss wengine hatupajui msoma.
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kazi iendelee mbele WATANZANIA,
 
Tunazidi kufeli kila kukicha yaani Kuna shule hazina madarasa halafu tuna kazi ya kuenziana tu kweli Kama tz tumelogwa mchawi wetu yupo karibu Sana na sisi kuhakikisha hatufurukuti
Uwanja wa ndege ni muhimu pia kwa maendeleo, huo uwanja ni muhimu sana na utasaidia maendeleo Musoma na Mara kwa ujumla, Musoma kuna watu zaidi milioni moja, ni rahisi kujenga madarasa bila serikali lakini uwanja wa ndege ni ngumu kuchangishana, tujifunze kuchangishana pesa na nguvu kazi na kuajiri walimu wetu ili watoto wetu wasome vizuri kuliko kusubiri serikali, muda hausubiri
 
Chapa kazi
 
Hii miradi yote aliianzisha JPM na pesa yake ipo tangu wakati huo. Punguzeni kusifia vitu visivyo halisi hata Mama najua atakuwa anajisikia vibaya. Na ndiyo maana jana mwenyewe kasema akikaa anasikia sauti ya mtangulizi wake ikimwambia fanya hivi na vile. Na akashuku serikali ya awamu ya tano kwa kuanzisha mambo mazuri ma kwamba ataikamilisha yote. Pia Mama kakiri kjwa ameachiwa urithi mzito.
 
Sawa ila sio kweli
 

Ipo wapi? Au ni kudemka
 
Acha bhange we kijana. Kwani mama amekwambia bwawa la nyerere ameliterekeza? Au we unaokoteza tu vya kukosoa. Nyie sukuma gang mna matatizo huoni hata polepole ameshajio a mpumbavu ameamua kuachana na harakati zake za kijinga. Kubalini jpm aliharibu nchi.
 
Samia naona kawa tajiri sana.

Hebu tuache hizi porojo za kusema raisi katoa kiasi fulani.

Hivi kuna ugumu gani wa kusema raisi kaidhinisha kiasi kadhaa kwaajili ya ujenzi wa kitu A
 
Kazi iende mbele,
 
Mtoa madam tatzo mlishafungwa akili. Hivi raise Samia ana hela zake. Au ni hela za watanzania. Hii ni hela ya watanzania sio hela ya Samia. Yeye ni msimamizi tu
 
Mkuu akili ndogo haiwezi kukuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…