Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Naomba ufafanuzi hapo kwenye "HATUITEGEMEI"
Pongezi ziende kwa IMF, pale inapoikopesha nchi kununua madawati, wakati nusu ya mikoa yake inazalisha miti kwajili ya mbao.

Kwani umeambiwa wananunua kutoka ndani? Hizo fedha za madawati zinaenda kwa mafundi na wauza mbao wa Tanzania
 
Kumbe nchi hii ni tajiri sana kama inajitemea kwenye bajeti kwa 91.9% ,
Kila shule madawati 120 ni mengi sana kwakweli lazima tumshukuru huyu mama,
Yale mambo yakwenda na madawati hayapo tena asante sana Rais Samia,
Samia atawafunika wenzake wote
Ni msaada we boya
 
Sound like a responsible minister

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Hivi Huyo samia anatoa hela zake mfukoni? au ni hii hii tunayokatwa kodi?
 
Kwani umeambiwa wananunua kutoka ndani? Hizo fedha za madawati zinaenda kwa mafundi na wauza mbao wa Tanzania
Ishu ni Mkopo. Tumeshindwa kufanya hayoyote kwa makusanyao ya kodi, hadi IMF watukopeshe. Hebu niambie ni sekta ipi ambayo serikali kwa 100% inatumia makusanyo yake ya kodi
 
Jesus Christ

yaani kila shule madarasa manne,
Kila shule madawati 120,
Hii mimi sijawahi kuona,
Mungu akubariki Rais Samia,
Amen

Endelea kumwombea Rais wetu

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Tatizo ni hao wakuwa SERIOUS, ambao tokea 1961wanakusanya Kodi!
 
Ishu ni Mkopo. Tumeshindwa kufanya hayoyote kwa makusanyao ya kodi, hadi IMF watukopeshe. Hebu niambie ni sekta ipi ambayo serikali kwa 100% inatumia makusanyo yake ya kodi
Mkopo huu unatolea kwa nchi zote zilizovurugwa na COVID 19,

ULITAKA TUUACHE?

HUJUI KWAMBA MKOPO NI MAENDELEO?

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Tatizo ni hao wakuwa SERIOUS, ambao tokea 1961wanakusanya Kodi!
TRA kaanzisha Mkapa 2000's unasemaje tulikusanya kodi?

Maendeleo ni hatua is a gradual process,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Kwani umeambiwa wananunua kutoka ndani? Hizo fedha za madawati zinaenda kwa mafundi na wauza mbao wa Tanzania
Uko sahihi 100%

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
(.....ya kisasa.....). Hili ni muhimu sana kwa maana ya vigezo vya ubora vizingatiwe na kusimamiwa ipasavyo wakati wa utekelezaji wa miradi hii.
 
(.....ya kisasa.....). Hili ni muhimu sana kwa maana ya vigezo vya ubora vizingatiwe na kusimamiwa ipasavyo wakati wa utekelezaji wa miradi hii.
Nikweli,

Kila mtu awe msimamizi pale alipo,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Rais Samia wanaompinga hawana zaidi ya maslahi tu,

Mtu anafanya yote haya halafu wengine wamekalia nongwa tu,

Ila naamini ipo siku watampigia magoti hawa,

Madawati 120 kila shule nchi nzima nani angeweza hii,

Madarasa 4 kila shule nchi nzima nani angeweza hili,

HAKUNA KAMA SAMIA NIKWELI
 
Ni jambo jema lakini mgawango ufuate Hali halisi ya mahitaji na jiografia,,usifanyike kwa kusema kila Shule Madarasa 4 hapana .

Ikifanyika hivyo tatizo la watoto kukaa chini na kulundikana halitatatuliwa.

Hongera mh.Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…