Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Daaah Speechless,

Huyu Mama Mungu amtie nguvu jamani,
Haya mambo ni makubwa sana lazima tuwe na huruma,
Msaidieni huyu Rais atatufikisha mbali sana,
Rais Samia usirudi nyuma,
Bila Shaka,tuko na Mama ,madarasa 4 na madawati 120 kwa kila Shule ni jambo kubwa kabisa hili.
 
Mbona hapa kwetu kawe,hatujayaona? madawati yenyewe amna watoto wengine hawana viti vya kukalia,choo ndio usiseme, watoto wako hatalini kupata magonjwa ya mlipuko,tumerudu wakati wa namba na takwimu lakini ukienda seats amna kitu.
 
Rais Ametoa....? haraf unasema as if ametoa msaada, wananchi au serikali ikope, walipe wananchi then fedha iwe yake na atoe. Akili zenu nmazijua wenyewe ziko kilo ngap humo kichwan
 
Mbona hapa kwetu kawe,hatujayaona? madawati yenyewe amna watoto wengine hawana viti vya kukalia,choo ndio usiseme, watoto wako hatalini kupata magonjwa ya mlipuko,tumerudu wakati wa namba na takwimu lakini ukienda seats amna kitu.
Kwani utekelezaji umeanza? Si Ndio unatarajiwa kuanza mwisho wa mwezi huu harafu kama hapana uhitaji hutayaona lazima uambiwe live..
 
Kuna kitu hakiko sawa kwenye hizi nyuzi,

Nakumbuka ule usemi maarufu wa "MBUZI WA BWANA HERI"

Pamoja na yote mama yuko vizuri.
 
Naunga mkono hoja yako mkuu Wangu,

Habari yako mkuu wangu,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Ni jambo jema lakini mgawango ufuate Hali halisi ya mahitaji na jiografia,,usifanyike kwa kusema kila Shule Madarasa 4 hapana .

Ikifanyika hivyo tatizo la watoto kukaa chini na kulundikana halitatatuliwa.

Hongera mh.Rais
 

Pesa ya Umma kubinafsishwa kwa mtu ni ukakasi, hamsikii tu?
 
Vipi mchambawima yatajengwa hayo madarasa?
 
Kwahili la madarasa na madawati namuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…