CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #61
Yeah mama anafanya makubwa sanaMwezi julai kamwaga za kutosha Afya na elimu. Yule jiwe miaka mitano vijana wanazunguka na bahasha angalau huyu kawakumbuka wadogo zetu.
Hakuna wapi?Mada inasema uongo? Hakuna hayo madarasa na madawati?
Sema serikali,Mama Samia hela ya kutoa hivyo vitu katoa wapi,hebu refeer alivyosema leo CAG MstaafuRais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Hata wewe utalipa kama unalipaga kodi.huo mkopo atalipa kwa pesa toka mfukoni mwake?
Nimemuuliza huyo anayeponda sijui mada ni ya familia ili kusifia.Hakuna wapi?
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Kila siku narudia hili,Sema serikali,Mama Samia hela ya kutoa hivyo vitu katoa wapi,hebu refeer alivyosema leo CAG Mstaafu
CAG Mstaafu Ludovick Utoh: Kuna ukakasi kusema Rais ametoa hela inapaswa kuwa Serikali imetoa hela kutekeleza miradi
Mzee Ludovick Utoh, Sasa akiongoza taasisi iitwayo wajibu, alikuwa CAG kwa miaka 8. CAG mmoja hivi amenyooka Kama rula, akipiga kila palipostahiki pasi na kusita mradi tu maslahi ya imma yasipindishwe. Akihojiwa na Chief Odemba wa Star TV, Jana usiku alupoulizwa Kama, ni sawa kwa Viongozi...www.jamiiforums.com
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
View attachment 1971400
Good,Hata wewe utalipa kama unalipaga kodi.
Nimemuuliza huyo anayeponda sijui mada ni ya familia ili kusifia.
Nashangaa misifa kama loote wakati hizi ni pesa za tozo zetu.Mkuu punguza spidi basi,naona thread zako kibao zinashuka kumpa kongole chief Hangaya!
Ukakasi upi?
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,
IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.
Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Poa mkuu,Ahsante Kwa taarifa...
sasa kwanini mnasema kuwa samia katoa pesa ya madarasa wakati mnajua kabisa kuwa hata sisis tutalipa?Hata wewe utalipa kama unalipaga kodi.
Nakusalimu kwa jina la JMT mkuu,Nashangaa misifa kama loote wakati hizi ni pesa za tozo zetu.
Kwani IMF wanatoa pesa bila mikataba?View attachment 1971419
Endeleeni kushangilia
Kazi iendelee crdeNakusalimu kwa jina la JMT mkuu,
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Mzee ameteleza tuHuu hapa:
CAG Mstaafu Ludovick Utoh: Kuna ukakasi kusema Rais ametoa hela inapaswa kuwa Serikali imetoa hela kutekeleza miradi
Mahsusi kabisa kwenu waimba mapambio.
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDINashangaa misifa kama loote wakati hizi ni pesa za tozo zetu.
Mikopo ni aina nyingine ya ukoloni ndio maana baba yenu mwendazake alikua anajitahidi kuikwepa, kwanza kwanini wanakopa wakati walisema tumekubaliana tozo na Kodi kwenye miamala na mafuta pesa zake zitatumika kujenga hiyo miundombinu waliyoitajaKwani IMF wanatoa pesa bila mikataba?
Hawa Algeria riba kwao ni kosa
#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI