Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Mikopo ni aina nyingine ya ukoloni ndio maana baba yenu mwendazake alikua anajitahidi kuikwepa, kwanza kwanini wanakopa wakati walisema tumekubaliana tozo na Kodi kwenye miamala na mafuta pesa zake zitatumika kujenga hiyo miundombinu waliyoitaja
Amekwepa wapi mkuu hebu mwache mzee apumzike kwa amani,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Ajira za walimu atatoa au hao watt wanaenda fundshwa na vibwengo kwny hayo madarasa!
 
Binafsi leo hii nimeshuhudia kwenye akaunti ya shule x wametia kiasi cha shilingi milioni 25 kwa ajili ya kumalizia vyumba viwili vya darasa ambavyo vimefika hatua ya lenta.....nineona kitu tofauti na kipindi cha Hayati...huyu mama hana maneno na makelele mengi kama kipindi kilichopita bali anafanya kweli

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Safi Sana fanyeni kazi wakuu,

Nchi hii ni yetu sote


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
sasa kwanini mnasema kuwa samia katoa pesa ya madarasa wakati mnajua kabisa kuwa hata sisis tutalipa?
Baba yako akikulipia ada kwa kumkopa jirani kwa mategemeo ya kuuza mayai ya kuku mnaowafuga arudishe mkopo wa watu utawaambia watu kuwa umelipiwa ada na jirani?
 
Hivi unamwaga misifa lukuki.
Kama wananchinwake hawatatozwa au kulipa kodi hizi pesa zamora mfukoni mwake??
Na hata zitlkazo kwa wafadhili sio zake bado wqnqnvhi wanachangia kiwango cha lami kulipa deni.
Haya ni maendeleo yanayotakiwa kihalali sio kumpa sifa! Mtangulizi wake fungu alikuwa anatembea nalo mfukoni pesa ya wananchi.
Namba zaweza kuwa kubwa lakini tukapigwa kama kawaida ya viongozi wetu.
TSH Mil 1.5 zililera jibu hadi muda huu.!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Wajitahidi na shule ziongezwe Ili kupunguza watoto wengi kujikusanya eneo moja.
 
ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu
Haya ni makadirio tu trust me by March mwakani utakelezaji wa bajeti unakua chini ya 80% kama ilivyo miaka yote na tatizo utaambiwa ukusanyaji hafifu!! So usiconclude kabla bajeti haijakamilisha life cycle yake.
 
Mkuu salaam

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Haya ni makadirio tu trust me by March mwakani utakelezaji wa bajeti unakua chini ya 80% kama ilivyo miaka yote na tatizo utaambiwa ukusanyaji hafifu!! So usiconclude kabla bajeti haijakamilisha life cycle yake.
Hapana let's hope the best


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Aliefikiri kuwakopesha waathirika wa covid ni mwenye akili nyingi kuliko aliyekopa na kutumia hio pesa
Fedha hii hata JK asingeiacha

Fedha hii ingekwenda directly kwenye miradi ya kujenga uchumi
Umeme
Uzalishaji
Usafirishaji
nk

Ila anyway, viatu vya bwana yule ni vikubwa Sana
[emoji23][emoji23]
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Raisi hatoi pesa mfukoni mwake .wala siyo kwa hisani.inayotoa ni serikali ya Tanzania na ni denial ambalo hata bibi yako kijijini atalipa.
Ujinga wako unakutuma umsifie raisi binafsi badala ya serikali nzima.
NAMLAANI SANA RAISI ALIYEPITA KULETA HII KASUMBA
 
Kwani asingefanya mngemlaumu nani?


Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…