Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

Ok, Nimesikia chokochoko huko Bungeni.
Wabunge wa CCM mnafikia pahala mnavuana nguo hadharani .

Mh.Spika ,hili nalo mliangalie wenyewe.
Naamini utaliweza mana una elimu nzuri ya sharia .

Rubani washa ndege tuondoke zetu.
Spika na yule bibi kuwaweka kwenye vyombo vikuu vya maamuzi, ni hatari na hasara ya nchi hii.
 
Mimi sikiwapigia kula wale mazuzu waliopo bungeni.
Unapata wapi ujasiri wa kuandika kuwa nguvu ya haya maujinga nimewapa mimi!!
Anyways,tungekuwa hata nusu ya energy ya wakenya tungekomesha huu ujinga sababu viongozi wa nchi hii ni waoga sana.
 
Hapo mi sielewi,na ndege yake ipo,ila ye anakwea hilo pipa la abiria 500.
Huku abiria ndege zinaahirishwa kila kukicha.na hilo dubwasha linakunywa mafuta haswa kila likinyanyuka.
Ndege zote ni mali yetu watanzania na Rais wetu anaweza na yupo huru kutumia usafiri na ndege yoyote ile atakayo.
 
Ila kama kufaidi huyo mwewe amefaidi, naona sasa imekuwa kama mwewe wa rais...
 
Waswahili na shughuli !!!wao wanakwambia shughuli ni watu 🀣🀣🀣🀣
Haya mama sisi utatukuta nyumbani tupo hapa
 
Waswahili na shughuli !!!wao wanakwambia shughuli ni watu 🀣🀣🀣🀣
Haya mama sisi utatukuta nyumbani tupo hapa
Safari za Mheshimiwa Rais nje ya nchi zimekuwa na tija kubwa sana na matokeo chanya kwa Taifa letu.
 
Yule jemba mvaa hijab leo hajaenda kutalii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…