Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #121
Kweli wewe huna akili kabisa.yaani unasema hujasoma andiko halafu hapohapo upo kutiririka maneno ya lawama utafikiri mlevi aliyeteleza korongoni. Akili ni mali sana.bila shaka ulienda shule kusomea ujinga na ukaguzi vizuri mafunzo ya ujinga.Sijamaliza hata kusoma hili andiko lako la chooni, ila fikra za vijana Kama wewe imenifanya niamini hili taifa watu wanaugua ugonjwa wa akili bila kujijua.
Naomba utuambie chuo cha ulinzi wa Taifa kwa kingereza kinaitwaje maana kwenye guide book ya TCU naona mapicha pichaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana.
Ambapo akiwa chuoni hapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa ameweza kutoa Mhadhara Mzito sana wa uzani wa juu na kidunia juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake.ikumbukwe falsafa hiyo ndio imeshuhudia na kuwawezesha wapinzani na vyama vyote vya siasa kupanda majukwaani na kufanya siasa.
Ni kupitia falsafa hiyo imewezesha wapinzani waliokuwa wamekimbia nchi na kuishi uhamishoni kuweza kurejea Nchini kifua mbele na kuishi nchini mwao bila hofu wala wasiwasi,ni kupitia falsafa hizo tumeshuhudia umoja wa kitaifa ukiimarika na kuwa na nguvu kuliko wakati wowote ule.
Ni kupitia falsafa hiyo leo hii hakuna Mwanasiasa ambaye yupo gerezani kwa kesi ya kisiasa, wala kufungwa pingu kwa maonezi na kusafirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, wala mtu kulala na wasiwasi ya kugongewa na kuvunjiwa mlango na hatimaye kukamatwa usiku wa manane kama Jambazi sugu la mauaji.
Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia vyama vya siasa hapa nchini vikikaa kwa pamoja katika meza moja ya mazungumzo kunywa maji na kula chakula kwa pamoja na kuzungumza masuala mbalimbali juu ya mstakabali wa Taifa letu na mwisho kupeana mikono kwa amani na upendo.
Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia umoja, mshikamano,upendo na udugu ukiongezeaka na kuimarika sana miongoni mwa Watanzania pamoja na kuongezeka kwa moyo wa uzalendo kwa Taifa letu na kupendana sisi kwa sisi bila kujali itikadi zetu za kisiasa.ndio sababu kazi zinaendelea vyema, maendeleo yanapatikana kila Secta,uchumi wetu unakua kwa kasi,watalii wanaendelea kumiminika nchini kufikia millioni 1.8,mapato yanaendelea kuongezeka,biashara zinaendelea kuongezeka.
Ni kupitia falsafa hiyo tunaona Amani na utulivu vinaendelea kutamalaki na kushamiri hapa nchini.hiyo yote ni kazi ya Mikono ya Jemedari wetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika,mama wa shoka,chuma cha Reli kiongozi imara na hodari katika uongozi.hii yote ni akili ,upeo na maarifa makubwa ya kiuongozi aliyo nayo Rais wetu kipenzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu yangu uwe makini kwa kila jambo.angalia picha ya Rais wetu kwa nyuma ukutani kuna Bango kubwa limeandikwa kabisa kwa kingereza na kwa maneno makubwa kabisaNaomba utuambie chuo cha ulinzi wa Taifa kwa kingereza kinaitwaje maana kwenye guide book ya TCU naona mapicha picha
Ahahahahaha! Haya bwana!Usinifananishe na watu wasiojitambua na waliopoteza muelekeo
Bila akili wasingekuepo madarakan mpk saiv ,,,afu me ni mtz sio ccm na wala cna mpngo wa kua mwanachama yeyote
Nyie CCM hamna akili kabisaaaaa
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania.Hakika kipaji chako cha uchawa ni cha hali ya juu sana, tatizo mama hakuoni , nakushauri jiunge na wale vijana wajinga kina Mwijaku wakuonyeshe kazi zilipo
Mimi mpaka nimelia kwa furahaKila mtanzania amefurahi sana huku mitaani hadi wengine wakawa wanamsalimia shikamoo mama kupitia Tv .Rais Samia anapendwa na kukubalika na watanzania sijapata kuona.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana.
Ambapo akiwa chuoni hapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa ameweza kutoa Mhadhara Mzito sana wa uzani wa juu na kidunia juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake.ikumbukwe falsafa hiyo ndio imeshuhudia na kuwawezesha wapinzani na vyama vyote vya siasa kupanda majukwaani na kufanya siasa.
Ni kupitia falsafa hiyo imewezesha wapinzani waliokuwa wamekimbia nchi na kuishi uhamishoni kuweza kurejea Nchini kifua mbele na kuishi nchini mwao bila hofu wala wasiwasi,ni kupitia falsafa hizo tumeshuhudia umoja wa kitaifa ukiimarika na kuwa na nguvu kuliko wakati wowote ule.
Ni kupitia falsafa hiyo leo hii hakuna Mwanasiasa ambaye yupo gerezani kwa kesi ya kisiasa, wala kufungwa pingu kwa maonezi na kusafirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, wala mtu kulala na wasiwasi ya kugongewa na kuvunjiwa mlango na hatimaye kukamatwa usiku wa manane kama Jambazi sugu la mauaji.
Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia vyama vya siasa hapa nchini vikikaa kwa pamoja katika meza moja ya mazungumzo kunywa maji na kula chakula kwa pamoja na kuzungumza masuala mbalimbali juu ya mstakabali wa Taifa letu na mwisho kupeana mikono kwa amani na upendo.
Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia umoja, mshikamano,upendo na udugu ukiongezeaka na kuimarika sana miongoni mwa Watanzania pamoja na kuongezeka kwa moyo wa uzalendo kwa Taifa letu na kupendana sisi kwa sisi bila kujali itikadi zetu za kisiasa.ndio sababu kazi zinaendelea vyema, maendeleo yanapatikana kila Secta,uchumi wetu unakua kwa kasi,watalii wanaendelea kumiminika nchini kufikia millioni 1.8,mapato yanaendelea kuongezeka,biashara zinaendelea kuongezeka.
Ni kupitia falsafa hiyo tunaona Amani na utulivu vinaendelea kutamalaki na kushamiri hapa nchini.hiyo yote ni kazi ya Mikono ya Jemedari wetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika,mama wa shoka,chuma cha Reli kiongozi imara na hodari katika uongozi.hii yote ni akili ,upeo na maarifa makubwa ya kiuongozi aliyo nayo Rais wetu kipenzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anatosha kwa sababu ametosheleza na kukidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo watanzania juu ya aina ya Rais waliue mhitaji. Rais Samia ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.Why unamalizia na neno anatosha ?
Kwani kuna mabadiliko ya mgombea yanatoka kufanyika.?
Wewe unasema anatosha, mwigulu anasema mama anatosha
Why anatosha anatosha ?
Anatosha kwa sababu ametosheleza na kukidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo watanzania juu ya aina ya Rais waliue mhitaji. Rais Samia ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.
Wivu na chuki zako Binafsi zitakuuwa mwaka huu
Huyu chizi huwa sina utani naye😂Mnanivunjaga mbavu zangu!
Mtu atadhani mpo serious kumbe maigizo tu
Nakupa onyo la mwisho vinginevyo utapata matokeo mabaya snBora ukose vyote lakini upewe akili. Lakini ndio hivyo Wewe umenyimwa akili na Mungu.
UWT hawana akili..kusema kwamba hana mvuto, au hawezi kujenga hoja, kwako ni chuki binafsi?
Muignore! Kwanini akipost unakimbilia uzi sasa kama sio kumpenda huko?Huyu chizi huwa sina utani naye
Mi simpendi huyu kichaaMnajuana nyie!
Kwanini huwezi kuishi humu jf bila yeye? Kwanini unampenda wewe na Benjamini
Jana ulimmiss wewe😂🤸
Mchokozi ni yeye hata kama sijamsemesha huwa ananianzaMuignore! Kwanini akipost unakimbilia uzi sasa kama sio kumpenda huko?