EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Jamaa nasikia linavaa mikaptura ya ndani ya suruali na misulupwenye mikubwa ya kufungwa na katani yenye picha ya huyo mama yake wa hiari kweli Lucas ni punguani wa viwango elekezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hawamwambii hivyo Erythrocyte?Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Akili huna kabisa.Wewe ya kike sana. Toka ujiambatanishe na Kafulila umekuwa na mapenzi naye. Umemwacha kabisa Makonda
Naona umepaniki mpaka akili Imekutoka.Jamaa nasikia linavaa mikaptura ya ndani ya suruali na misulupwenye mikubwa ya kufungwa na katani yenye picha ya huyo mama yake wa hiari kweli Lucas ni punguani wa viwango elekezi
Usinifananishe na watu wasiojitambua na waliopoteza muelekeoMbona hawamwambii hivyo Erythrocyte?
Nenda kenya na ujinga wakoMjinga wewe
Sisi wengine sio mumbavu chawa kama wewe chawa mpumbavu
Raisi atoe kauli maduka yanafungwa asitekekezee watu wadogo atoe kauli na solution kama raisi asijifiche kwenye majukumu mengine
Achana na mfumo dume,jifunze kwa Zakayo.Punguza uchawa kijana.
Umemkaje wewe na Kafulila? Rais ajaye. Tuna safari next week na mama na wewe utakuwepo? Weka namba nikuunge group la watu wa maana CCM.Akili huna kabisa.
Ujinga umepofusha akili yakoUmemkaje wewe na Kafulila? Rais ajaye. Tuna safari next week na mama na wewe utakuwepo? Weka namba nikuunge group la watu wa maana CCM.
Kwahiyo mama akiona hizi sifa za kijinga anafurahia?Kila mtanzania anafurahi sana amuonapo mama.maana Mama yetu ni mwenye moyo wa Upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu
Umenianza? subiriMoshi unaojifukiza kichwani umekuharibu kabisa dogo.
Maza mwenyewe huwa hajui anasimamia kipiNimeona hapo mmoja ana bubujikwa na machozi baada ya kumsikia mh Rais.😂
Ila ukiona mtu alala tena mbele ya Rais ujue hajamuelewa kabisa
Rais Samia ndio tumaini la watanzania kuwakwamua kiuchumiKwahiyo mama akiona hizi sifa za kijinga anafurahia?
Basi Kuna kitu hakiko sawa somewhere
Huwezi ukaelewa kwa sababu wewe huna akiliMaza mwenyewe huwa hajui anasimamia kipi
Wewe hunaga akiliUmenianza? subiri
MaviNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana.
Ambapo akiwa chuoni hapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa ameweza kutoa Mhadhara Mzito sana wa uzani wa juu na kidunia juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake.ikumbukwe falsafa hiyo ndio imeshuhudia na kuwawezesha wapinzani na vyama vyote vya siasa kupanda majukwaani na kufanya siasa.
Ni kupitia falsafa hiyo imewezesha wapinzani waliokuwa wamekimbia nchi na kuishi uhamishoni kuweza kurejea Nchini kifua mbele na kuishi nchini mwao bila hofu wala wasiwasi,ni kupitia falsafa hizo tumeshuhudia umoja wa kitaifa ukiimarika na kuwa na nguvu kuliko wakati wowote ule.
Ni kupitia falsafa hiyo leo hii hakuna Mwanasiasa ambaye yupo gerezani kwa kesi ya kisiasa, wala kufungwa pingu kwa maonezi na kusafirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, wala mtu kulala na wasiwasi ya kugongewa na kuvunjiwa mlango na hatimaye kukamatwa usiku wa manane kama Jambazi sugu la mauaji.
Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia vyama vya siasa hapa nchini vikikaa kwa pamoja katika meza moja ya mazungumzo kunywa maji na kula chakula kwa pamoja na kuzungumza masuala mbalimbali juu ya mstakabali wa Taifa letu na mwisho kupeana mikono kwa amani na upendo.
Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia umoja, mshikamano,upendo na udugu ukiongezeaka na kuimarika sana miongoni mwa Watanzania pamoja na kuongezeka kwa moyo wa uzalendo kwa Taifa letu na kupendana sisi kwa sisi bila kujali itikadi zetu za kisiasa.ndio sababu kazi zinaendelea vyema, maendeleo yanapatikana kila Secta,uchumi wetu unakua kwa kasi,watalii wanaendelea kumiminika nchini kufikia millioni 1.8,mapato yanaendelea kuongezeka,biashara zinaendelea kuongezeka.
Ni kupitia falsafa hiyo tunaona Amani na utulivu vinaendelea kutamalaki na kushamiri hapa nchini.hiyo yote ni kazi ya Mikono ya Jemedari wetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika,mama wa shoka,chuma cha Reli kiongozi imara na hodari katika uongozi.hii yote ni akili ,upeo na maarifa makubwa ya kiuongozi aliyo nayo Rais wetu kipenzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umeshafika Lumumba? Leo nanii atakuwepo hapo na kikao. Kafulila mwambie asikae tu kusifia kwa mbali mitandaoni aje kujenga chama. Siyo mnajengana tu nyieUjinga umepofusha akili yako
Mjinga wewe umeanza kunitafutaHuwezi ukaelewa kwa sababu wewe huna akili
Sawa unachokitafuta utakipata leo leoWewe hunaga akili