Rais Samia Atua Kwa Kishindo Adis Ababa Ethiopia Kushiriki Mkutano Wa Wakuu wa Nchi na Serikali

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametua kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Ardhi ya Adis Ababa Ethiopia katika kushiriki na kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali.

Lakini pia Rais wetu anapendekezwa Kutangazwa kama kinara wa kupigania Afya ya Mama na Mtoto. Ikumbukwe Mama yetu Mpendwa amefanya kazi kubwa sana katika kuimarisha huduma ya Mama na mtoto.

Jambo ambalo limepunguza vifo vya Mama na mtoto. Hii imefanyika kwa kuongeza Bajeti ya Afya ,kuboresha huduma za afya ,kujenga vituo vya afya kwa wingi, kutoa Elimu na kununua vifaa tiba na Madawa ya kutosha katika mahospitali mbalimbali nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260212-213230_1.jpg
Screenshot_20260212-213410_1.jpg
 
Hivi huoni aibu na pia huoni unaakwaza watu humu kuweka picha ya hilo bumunda? kila mada watu wanakupinga ila umo tu, una shida gani we tombina?
 
Wewe unamwona huyoMwashamvwa ni mtu mwenye akili timamu?
Huyo yawezekana mnapomzomea, yeye anaona mnamshangilia. Huyo mpuuzeni tu, lakini kumwonya huyo, ni sawasawa utegemee nzi atajua kuwa humtaki baada ya kumfukuza.
 
Sijajua kwanini hawa JamiiForum wamezuia Uzi wenye picha, video na matukio yote ya mauaji yaliyotoke kabla na baada ya uchaguzi.
Hata sifahamu mkuu kwanini ule uzi ulifutwa , ila record zote zipo katika hii tovuti na hatutawahi kusahau wala kumsamehe huyu muuaji.

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametua kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Ardhi ya Adis Ababa Ethiopia katika kushiriki na kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali.

Lakini pia Rais wetu anapendekezwa Kutangazwa kama kinara wa kupigania Afya ya Mama na Mtoto. Ikumbukwe Mama yetu Mpendwa amefanya kazi kubwa sana katika kuimarisha huduma ya Mama na mtoto.

Jambo ambalo limepunguza vifo vya Mama na mtoto. Hii imefanyika kwa kuongeza Bajeti ya Afya ,kuboresha huduma za afya ,kujenga vituo vya afya kwa wingi, kutoa Elimu na kununua vifaa tiba na Madawa ya kutosha katika mahospitali mbalimbali nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3543007View attachment 3543009
IMG_7606.jpeg
 
Back
Top Bottom