Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
wivu tu ndio unakusumbua.Hamna kutia Kwa kishindo hapo.
Anashindwa kutamba nchini mwake kama Kiongozi anaenda kutamba mataifa ya wengine?
Ulisikia wapi?
Sijajua kwanini hawa JamiiForum wamezuia Uzi wenye picha, video na matukio yote ya mauaji yaliyotoke kabla na baada ya uchaguzi.Muuaji aliyetapakaa damu kila kona ametua katika ardhi ya wahabeshi .
Damu hizo za watanzania maelfu hazitawahi kusahaulika na hazitawahi kusafishwa kwa propaganda yoyote ile.View attachment 3543012
Kwenda huko shetani mkubwa wewe.Tujuane wale wanaombea lirudi jina
Huna akili wewe na hujitambuiHivi huoni aibu na pia huoni unaakwaza watu humu kuweka picha ya hilo bumunda? kila mada watu wanakupinga ila umo tu, una shida gani we tombina?
Wewe unamwona huyoMwashamvwa ni mtu mwenye akili timamu?Hivi huoni aibu na pia huoni unaakwaza watu humu kuweka picha ya hilo bumunda? kila mada watu wanakupinga ila umo tu, una shida gani we tombina?
Hata sifahamu mkuu kwanini ule uzi ulifutwa , ila record zote zipo katika hii tovuti na hatutawahi kusahau wala kumsamehe huyu muuaji.Sijajua kwanini hawa JamiiForum wamezuia Uzi wenye picha, video na matukio yote ya mauaji yaliyotoke kabla na baada ya uchaguzi.
Mimi nimeacha kabisa kuangalia video zake.Ondoa upuuzi wako hapa.
SAmuya ndo taahira alifeli form 4!Huna akili wewe na hujitambui
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametua kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Ardhi ya Adis Ababa Ethiopia katika kushiriki na kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali.
Lakini pia Rais wetu anapendekezwa Kutangazwa kama kinara wa kupigania Afya ya Mama na Mtoto. Ikumbukwe Mama yetu Mpendwa amefanya kazi kubwa sana katika kuimarisha huduma ya Mama na mtoto.
Jambo ambalo limepunguza vifo vya Mama na mtoto. Hii imefanyika kwa kuongeza Bajeti ya Afya ,kuboresha huduma za afya ,kujenga vituo vya afya kwa wingi, kutoa Elimu na kununua vifaa tiba na Madawa ya kutosha katika mahospitali mbalimbali nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3543007View attachment 3543009