Rais Samia Atua Kwa Kishindo Adis Ababa Ethiopia Kushiriki Mkutano Wa Wakuu wa Nchi na Serikali

Anakwenda kujichoresha tu mbele ya viongozi wenzake. Kila mtu anamjua ni mwizi wa kura, aliyejiweka madarakani kwa njia haramu, muuaji wa raia wake, na Tundu Lissu yupo korokoroni kwa kesi ya uongo!

She is real a Laughing stock
 
 

Wakupe U-DED sasa. Naona Njaa Yako ni Kali Sana
 
Wewe unamwona huyoMwashamvwa ni mtu mwenye akili timamu?
Huyo yawezekana mnapomzomea, yeye anaona mnamshangilia. Huyo mpuuzeni tu, lakini kumwonya huyo, ni sawasawa utegemee nzi atajua kuwa humtaki baada ya kumfukuza.
Mimi ni akili kubwa.
 
Anakwenda kujichoresha tu mbele ya viongozi wenzake. Kila mtu anamjua ni mwizi wa kura, aliyejiweka madarakani kwa njia haramu, muuaji wa raia wake, na Tundu Lissu yupo korokoroni kwa kesi ya uongo!

She is real a Laughing stock
Rais Samia ni Fahari ya Afrika
 
Ulikuwepoooo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…