ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Shughuli ipi nzito labda hapo kesho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa jf wewe tena kunguni na kiroboroHuyo ndio Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Pole ya nini.Nikajua kaenda ngorongoro kuwapa pole wamasai
Kaa kwa kutuliaShughuli ipi nzito labda hapo kesho?
Kuna wajinga watakuaminikwenye picha pale kati namwona mtoto wa mfalme wa oman
Kama ni hili buti hatari sana 😃😀😃😃😃
Just imagine huyu afisa ana kanyota kamoja na amevaa ndula zimevurugwa nanna hii kama ulimi WA umbwa za kolokoloni na bado haoni haja ya kusapoti movement ya kuboresha maisha yake na wanae. Bulukenge wahedi.
Watu na magenge yao...Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ,yatakayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania,Moshi KilimanjaroView attachment 3097607
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabu.Watu na magenge yao...
Endelea kujikomba kwa kusifia wanaume wenzio badala ya kujisifia mwenyewe!Huyo ndio Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Mimi sijikombi ndugu yangu mtanzania.mimi naongea ukweli tu.Endelea kujikomba kwa kusifia wanaume wenzio badala ya kujisifia mwenyewe!
Wewe ni ignore hata muda huu huu na dakika hii hiiWewe huna tofauti na yule mwehu anajiita chiefgodlove, soon nitakuignore
Ndio dawa yenu. Maana mkiandika utumbo watu wana wajibu mnapata vichwa
Yupo kazini na siyo kwenye maonyesho ya urembo.Asikari wa Mwashambwa