JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa.
“Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi kwa Mhe. Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, kufuatia vifo vya watu vilivyosababishwa na mafuriko katika Jimbo la KwaZulu-Natal. Tunawaombea Marehemu wote wapumzike mahali pema na Majeruhi wapone haraka,” Rais Samia