benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
"Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa waliotutoka na kuwajalia majeruhi pona ya haraka. Tunapoelekea msimu wa mwisho wa mwaka, naviagiza vyombo vya ulinzi na usalama barabarani kuongeza usimamizi wa sheria na ukaguzi."
Kuhusu ajali soma Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14