benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi (Apartheid) pamoja na mchango wake kama Rais wa kwanza Mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.