Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi (Apartheid) pamoja na mchango wake kama Rais wa kwanza Mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Your browser is not able to display this video.
 
Hongera Mama kazi yako inaonekana dunia nzima
 
ANC yenyewe ni kama CCM imeiua Nchi ya AZANIA.
 
Watanzania waishio S.A tusaidieni namna gani kasaidia katika hilo huenda katunukiwa nishani chini ya kiwango.
 
Hongeraaaaaa, barikiwa sana Mamaaa.Inapendeza sana nchi mnapokuwa na Rais wa namna hii.
 
Anastahili
 
Bado tuzo ya Mo Ibrahim, soon atakwenda kuichukua na hiyo.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…