nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Mbunge wa Kongwa alikua na wivu tu...
Si unaona!
Si unaona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna usanii kwenye Nobel, ile hata Nyerere hakuipata.Shahada sasa ifikie muda iwe basi apewe nobel!
Alisemaje vile?Mbunge wa Kongwa alikua na wivu tu...
Si unaona!
Yani hapa nakusoma huku nabubujikwa na machozi ya furaha.Naamini hata vyuo kama Havard au Yale kutoka Nchini Marekani pamoja na vile vya Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vitakuwa vinakamilisha utaratibu wa kumualika Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi na kumpatia Udaktari wa heshima.hii ni kutokana na uongozi wake kuleta mageuzi chanya na kugusa maisha ya wengi.
Mfano Rais Samia kwa sasa ndio kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia Ulimwenguni kwote..
Rais Samia ndiye kinara katika kumfungulia njia mtoto wa kike kupata Elimu na kutimiza ndoto zake kwa kumuondolea vikwazo mbalimbali vilivyokuwa vikikwamisha ndoto za mtoto wa kike kupata Elimu.
Ipo siku yaja Rais Samia Mama yetu Mpendwa atapokea tuzo ya Nobel pamoja na ile ya MO Ibrahim
Kachukua mkopo wa "masharti nafuu"🤣🤣🤣Shida sio Shahada, je kafanya Nini kupewa hiyo Shahada?.
Wameshajuwa weakness zetu na wao wanapita humohumo.Hizo degree wanazotunukiwa, huwa zinaongeza kipi kwenye maisha halisia?
Zinarahisisha ugumu wa maisha kwa watawaliwa na kuongeza ufanisi kwa watendaji?
Dr Matola PhD naomba mwongozo, mimi siyo msomi.
"Eti nchi itapigwa mnada"...Alisemaje vile?
Chawa wa Magufuli yule, kifo cha Magufuli kimewatia wote wazimu waliodhani Magufuli ataishi milele."Eti nchi itapigwa mnada"...
We unaona ni kweli?
Binafsi naona ni wivu tu...
Watu wafupi wana wivu sana.
Aibu kubwa hii walahiAmkeni jamani mnalala mna pesa? Ni kama vile hawa watu weupe wameshatujuwa weakness zetu basi na wao wanapitia humohumo.
Mama Samia muda huu South Korea anatunukiwa degree nyingine.
Hata mimi naona tuko sehemu salama kwa mustakabali wa Taifa na raslimali zake ziko salama na raia wanaolia lia wana wivu tu 🦍😭"Eti nchi itapigwa mnada"...
We unaona ni kweli?
Binafsi naona ni wivu tu...
Watu wafupi wana wivu sana.
AiseNaamini hata vyuo kama Havard au Yale kutoka Nchini Marekani pamoja na vile vya Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vitakuwa vinakamilisha utaratibu wa kumualika Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi na kumpatia Udaktari wa heshima.hii ni kutokana na uongozi wake kuleta mageuzi chanya na kugusa maisha ya wengi.
Mfano Rais Samia kwa sasa ndio kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia Ulimwenguni kwote..
Rais Samia ndiye kinara katika kumfungulia njia mtoto wa kike kupata Elimu na kutimiza ndoto zake kwa kumuondolea vikwazo mbalimbali vilivyokuwa vikikwamisha ndoto za mtoto wa kike kupata Elimu.
Ipo siku yaja Rais Samia Mama yetu Mpendwa atapokea tuzo ya Nobel pamoja na ile ya MO Ibrahim
Ni kweli...Chawa wa Magufuli yule, kifo cha Magufuli kimewatia wote wazimu waliodhani Magufuli ataishi milele.
Haswaa...Hata mimi naona tuko sehemu salama kwa mustakabali wa Taifa na raslimali zake ziko salama na raia wanaolia lia wana wivu tu 🦍😭
Ana kitu kikubwa atafika mbali, kwa sasa kila raia anafurahia cake ya Taifa, hata mali za Taifa kama gas, misitu, madini, wanyama et al vyote viko salama.Haswaa...
Ni wivu tu
Maana kama hadi watu weupe wanaona mchango wa raisi wetu ni lazima ana kitu...