Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
KabisaaKwa bei ya vitumbua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaKwa bei ya vitumbua.
Haswaa...
Ni wivu tu
Maana kama hadi watu weupe wanaona mchango wa raisi wetu ni lazima ana kitu...
Wewe waonaje shekh?View attachment 3007262
Hivi weupe ni bora kuliko weusi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.
Acha ujinga. Wameona mama ameboresha kila kitu kilichoharibiwa na lile joka jpm. Nakuhakikishia jpm angekuwa rais mpaka leo nchi imeshapinduliwa siku nyingi au vikundi vya kigaidi vingekuwa vingi. Mama kaleta furaha. Sasa hivi vyombo vya habari vinaandika chochote na wameajiri watu kibao ambao walikuwa mtaani mfano tanzania daima imeajiri wati zaidi ya elfu 50 ambao bila samia wangekuwa wameshakufa nkHizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania.
India wametoa PhD majuzi tu wamepewa gati nambari 2.
Sasa sijui JMT au DP ndio waliowapa tenda.
Korea nao wameona mpenyo.
Mkwere naye alipewa nyingi akagawa gasHizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania.
Huyo kanunua ....!!Mbona Tale Kapewa? 🐼
Kwenye kijiwe cha kahawa round ya ghahawa na kashata Utasifiwa hadi Ujikinai 😂😂😂
maridhiano nkShida sio Shahada, je kafanya Nini kupewa hiyo Shahada?.