Kuna mtu alipewa mpaka uprofesa wa kilimo kwahiyo mwacheni mama apewe usomi wa heshima. Tuna rasilimali za kutosha hata tukiwapa wageni haiwezi kuisha.
Kwanza ardhi ni yetu wasiwasi wetu nini, usalama na jeshi la wananchi wangeona yanayofanywa na viongozi wetu yana madhara kwa taifa lazima wangezuia ugawiwaji holela wa mali zetu tulizopewa na mwenyezi Mungu lakini kwa kuwa na wao wanapata chochote mama anaporudi kutoka kuheshimishwa wanaunyuti.
Tuna taifa la majuha kuanzia juu mpaka chini yaani tumekuwa sijui mamtu ya namna gani hatuna wazalendo kabisa kwa taifa hata waliopo hatuwaungi mkono. Usalama fanyeni kazi yenu kikamilifu siyo kukomaa na wakosoaji wa serikali na mama anayeuza kila rasilimali.