Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr !!!!!!Wazungu wanapotuitaga watu weusi nyani huwa tunakasirika sana ila kuna muda inabidi tukubali tu kuwa Watu weusi hasa Watanzania hatuna tofauti na manyani kiakili na kiupeo.
Kikawaida tu, Chama kinaomba ridhaa ya kuongoza watu , kinakuwa na ilani, kinatekeleza ilani kama wajibu wake alafu baada ya kutekeleza ilani, anapewa tuzo Rais, tena na Bunge ambalo lina wajibu wa kumsimamia ili atekeleze hiyo Ilani na anayoahidi.
Cha kushangaza zaidi hayo yote yanayodaiwa kutekelezwa sio kwamba yametekelezwa kwa fedha binafsi za huyo Rais bali kwa kodi za Wananchi Masikini ambao kimsingi wanalipa hizo kodi ili wapate hizo huduma maana kodi ni lazima ilipwe ili mtu apate huduma.
Kuna upuuzi duniani unaukuta Tanzania tu. Sijui tulimkoseaga Mungu nini?
Mimi bado.Nimekata ndevu tu.Mimi binafsi hii nchi nimekata tamaa
Moderator Maxence Melo Active huu uzi ni tofauti kimaudhui. Sio sawa kuunganisha na uzi mwingine.Wazungu wanapotuitaga watu weusi nyani huwa tunakasirika sana ila kuna muda inabidi tukubali tu kuwa Watu weusi hasa Watanzania hatuna tofauti na manyani kiakili na kiupeo.
Kikawaida tu, Chama kinaomba ridhaa ya kuongoza watu , kinakuwa na ilani, kinatekeleza ilani kama wajibu wake alafu baada ya kutekeleza ilani, anapewa tuzo Rais, tena na Bunge ambalo lina wajibu wa kumsimamia ili atekeleze hiyo Ilani na anayoahidi.
Cha kushangaza zaidi hayo yote yanayodaiwa kutekelezwa sio kwamba yametekelezwa kwa fedha binafsi za huyo Rais bali kwa kodi za Wananchi Masikini ambao kimsingi wanalipa hizo kodi ili wapate hizo huduma maana kodi ni lazima ilipwe ili mtu apate huduma.
Kuna upuuzi duniani unaukuta Tanzania tu. Sijui tulimkoseaga Mungu nini?
Dah!!! Hiyo paragraph ya mwisho imenisikitisha sana.Wazungu wanapotuitaga watu weusi nyani huwa tunakasirika sana ila kuna muda inabidi tukubali tu kuwa Watu weusi hasa Watanzania hatuna tofauti na manyani kiakili na kiupeo.
Kikawaida tu, Chama kinaomba ridhaa ya kuongoza watu , kinakuwa na ilani, kinatekeleza ilani kama wajibu wake alafu baada ya kutekeleza ilani, anapewa tuzo Rais, tena na Bunge ambalo lina wajibu wa kumsimamia ili atekeleze hiyo Ilani na anayoahidi.
Cha kushangaza zaidi hayo yote yanayodaiwa kutekelezwa sio kwamba yametekelezwa kwa fedha binafsi za huyo Rais bali kwa kodi za Wananchi Masikini ambao kimsingi wanalipa hizo kodi ili wapate hizo huduma maana kodi ni lazima ilipwe ili mtu apate huduma.
Kuna upuuzi duniani unaukuta Tanzania tu. Sijui tulimkoseaga Mungu nini?
wazungu wa nni gentleman wacha wafanye mambo yao 🐒Wazungu wanapotuitaga watu weusi nyani huwa tunakasirika sana ila kuna muda inabidi tukubali tu kuwa Watu weusi hasa Watanzania hatuna tofauti na manyani kiakili na kiupeo.
Kikawaida tu, Chama kinaomba ridhaa ya kuongoza watu , kinakuwa na ilani, kinatekeleza ilani kama wajibu wake alafu baada ya kutekeleza ilani, anapewa tuzo Rais, tena na Bunge ambalo lina wajibu wa kumsimamia ili atekeleze hiyo Ilani na anayoahidi.
Cha kushangaza zaidi hayo yote yanayodaiwa kutekelezwa sio kwamba yametekelezwa kwa fedha binafsi za huyo Rais bali kwa kodi za Wananchi Masikini ambao kimsingi wanalipa hizo kodi ili wapate hizo huduma maana kodi ni lazima ilipwe ili mtu apate huduma.
Kuna upuuzi duniani unaukuta Tanzania tu. Sijui tulimkoseaga Mungu nini?
Sio kwamba Mzee Kenyatta alituita maiti...mana nyani ana afadhaliWazungu wanapotuitaga watu weusi nyani huwa tunakasirika sana ila kuna muda inabidi tukubali tu kuwa Watu weusi hasa Watanzania hatuna tofauti na manyani kiakili na kiupeo.
Kikawaida tu, Chama kinaomba ridhaa ya kuongoza watu , kinakuwa na ilani, kinatekeleza ilani kama wajibu wake alafu baada ya kutekeleza ilani, anapewa tuzo Rais, tena na Bunge ambalo lina wajibu wa kumsimamia ili atekeleze hiyo Ilani na anayoahidi.
Cha kushangaza zaidi hayo yote yanayodaiwa kutekelezwa sio kwamba yametekelezwa kwa fedha binafsi za huyo Rais bali kwa kodi za Wananchi Masikini ambao kimsingi wanalipa hizo kodi ili wapate hizo huduma maana kodi ni lazima ilipwe ili mtu apate huduma.
Kuna upuuzi duniani unaukuta Tanzania tu. Sijui tulimkoseaga Mungu nini?
Kiakili na kiupeo sie ni manyani tuSio kwamba Mzee Kenyatta alituita maiti...mana nyani ana afadhali
Watanzania ni watu wajinga mno mno hasa Watanganyika.Rais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025
View: https://www.youtube.com/live/dtSWOacZX3s?si=52R5DMNF-khUWAEl=============================================================
Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema:
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi"
"Kwa nafasi yetu wabunge tumeshughudia historia ya mafanikio na mabadiliko yaliyoleta tija na ustawi kwa jamii nzima, leo Mheshimiwa Rais tunapokusanyika hapa tunaadhimisha na kutambua mchango wako, kupitia tuzo hii maalum"
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"
"Wabunge hawa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutafakari nini cha kufanya kwa niaba ya wananchi wanaowawakilisha, wakawaza kukupa tuzo maalum leo"
"Kama isingekuwa muda katika majimbo yote ya Tanzania ambayo yapo 264 na sasa yameongezeka ambayo wabunge wake hawajaja bado bungeni, wabunge hawa kila mmoja wao anayo hadhithi njema ya kutoka kwenye majimbo yao na kazi uliyofanya katika sekta zote"
Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan
Hovyo kabisaRais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025

Tulia Akson, Tulia Ackson, Tulia Ackson Nimekuita mara tatu ili uelewe jipu limeiva haya we hodari!Rais Samia akipokea Tuzo Maalum kutoka Bungeni Dodoma Mei 31, 2025
View: https://www.youtube.com/live/dtSWOacZX3s?si=52R5DMNF-khUWAEl=============================================================
Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema:
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi"
"Kwa nafasi yetu wabunge tumeshughudia historia ya mafanikio na mabadiliko yaliyoleta tija na ustawi kwa jamii nzima, leo Mheshimiwa Rais tunapokusanyika hapa tunaadhimisha na kutambua mchango wako, kupitia tuzo hii maalum"
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"
"Wabunge hawa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutafakari nini cha kufanya kwa niaba ya wananchi wanaowawakilisha, wakawaza kukupa tuzo maalum leo"
"Kama isingekuwa muda katika majimbo yote ya Tanzania ambayo yapo 264 na sasa yameongezeka ambayo wabunge wake hawajaja bado bungeni, wabunge hawa kila mmoja wao anayo hadhithi njema ya kutoka kwenye majimbo yao na kazi uliyofanya katika sekta zote"
Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan
Nchi imeshakuwa Samialized, mwaka wetu huu.Mimi binafsi hii nchi nimekata tamaa