Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

Wee Luca, vingine baki navyo huko, hatutaki kutuingiza majaribuni waja.
Mxxxxiiiieeeew.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kuguswa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu.

Rais Samia anaendelea kuwa katika kilele cha mafanikio na kama kiongozi aliyefanikiwa zaidi katika Bara la Afrika, anaendelea kuwa nuru na Mwanga wa Ulimwengu. Anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu.

Embu soma hapa

👉Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Sheikh Abdullah Bin Zayed Al Nahyan Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Aidha, Medali hiyo ni moja kati ya Medali za juu kabisa kutoka kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Medali hiyo hutolewa kutambua mchango Kiongozi katika kuleta maendeleo endelevu kwa jamii yake. Serikali ya UAE imetambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu ambayo yanaendana na Sera za UAE za maendeleo endelevu katika kijamii, uwezeshaji wanawake na ushirikiano wa kimataifa.

Sheikh Abdullah aliwasilisha salamu kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan na kuwatakia kheri wananchi wa Tanzania katika maendeleo pamoja na ustawi zaidi. Pia alisisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa kudumu baina ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika sekta muhimu.View attachment 3326056

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kama ni 'mother of Nation' kwenye hizo falme za kiarabu,sawa kabisa na hongera kwake,

ila kwa Nchi hii asahau kabisa jambo kama hilo.......

kwa maana yeye ni mmoja wa WASALITI wakubwa kabisa kwa ustawi wa Taifa hili
 
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Ina tofauti gani na cheif magungo wa msowero alipopewa kioo na shanga akatoa ardhi na utawala wake kwa mjerumani? Hope umefika angalau fomfoo though kama hujasoma kbs nisamehe kijana!
 
Mjomba ni mama, mtu anampa mwanae zawadi wewe unasema tuzo.
 
Kama ni 'mother of Nation' kwenye hizo falme za kiarabu,sawa kabisa na hongera kwake,

ila kwa Nchi hii asahau kabisa jambo kama hilo.......

kwa maana yeye ni mmoja wa WASALITI wakubwa kabisa kwa ustawi wa Taifa hili
Msaliti Mwenyewe usiyejitambua na uliye jaa chuki binafsi na laana.
 
Back
Top Bottom