Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu.

Rais Samia anaendelea kuwa katika kilele cha mafanikio na kama kiongozi aliyefanikiwa zaidi katika Bara la Afrika, anaendelea kuwa nuru na Mwanga wa Ulimwengu. Anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu.

Embu soma hapa chini.

👉Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Sheikh Abdullah Bin Zayed Al Nahyan Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Aidha, Medali hiyo ni moja kati ya Medali za juu kabisa kutoka kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Medali hiyo hutolewa kutambua mchango Kiongozi katika kuleta maendeleo endelevu kwa jamii yake. Serikali ya UAE imetambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu ambayo yanaendana na Sera za UAE za maendeleo endelevu katika kijamii, uwezeshaji wanawake na ushirikiano wa kimataifa.

Sheikh Abdullah aliwasilisha salamu kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan na kuwatakia kheri wananchi wa Tanzania katika maendeleo pamoja na ustawi zaidi. Pia alisisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa kudumu baina ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika sekta muhimu.View attachment 3326056

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umesahau huyo Samia ni ndugu yao?
 
Hivi wewe ni Mzanzibar?au unajua ukienda kule kwao hata kugombea ubalozi huruhusiwi?
Mkuu achana na hiyo takataka! huyo Hana tofauti na inzi wale wa chooni wenye rangi ya blue..
 
Katika Foreign Ministry ya nchi yoyote duniani lazima iwepo ofisi ambayo diplomat anaambuwa mambo ya kukumbuka kufanya ukienda nchi fulani.

Halafu inakuwepo ofisi nyingine ambayo diplomat anaambiwa,......oh let me quote it just as that person said it in the State Department.
"Before visiting any country the diplomat will come here and we will Tell him what NOT to do when he goes to a certain country"
Obviously mambo kama haya hayafanyiki katika Foreign Office yetu ya Tanzania.
 
Jana wamesign barua ya kuchimba madini huko Serengeti Mbugani.
 
Atakuwa anamaanisha Mother of UAE nations.
Kwa sababu ameweza kuwagawia watoto wake wa huko UAE rasilimali zilizoporwa kwa watoto wa mama wa kambo Tanganyika. Naona watoto wake wanamtunuku kwa wema aliowafanyia, na uharamia aliowafanyia watoto wa kambo.

Siku nchi hii itakapompata mama yao atawapoka walioiba rasilimali za watoto wake, na kuwarudishia watoto wana wake. Na hao watoto wake ndio watakamtangaza huyo mama kuwa ndiye mama wa familia yao ya Tanganyika.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu.

Rais Samia anaendelea kuwa katika kilele cha mafanikio na kama kiongozi aliyefanikiwa zaidi katika Bara la Afrika, anaendelea kuwa nuru na Mwanga wa Ulimwengu. Anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu.

Embu soma hapa chini.

👉Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Sheikh Abdullah Bin Zayed Al Nahyan Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Aidha, Medali hiyo ni moja kati ya Medali za juu kabisa kutoka kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Medali hiyo hutolewa kutambua mchango Kiongozi katika kuleta maendeleo endelevu kwa jamii yake. Serikali ya UAE imetambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu ambayo yanaendana na Sera za UAE za maendeleo endelevu katika kijamii, uwezeshaji wanawake na ushirikiano wa kimataifa.

Sheikh Abdullah aliwasilisha salamu kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan na kuwatakia kheri wananchi wa Tanzania katika maendeleo pamoja na ustawi zaidi. Pia alisisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa kudumu baina ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika sekta muhimu.View attachment 3326056

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nipe nikupe raha tupate.
 
Kwa nini Wajomba zake wasimtunuku Mwipa wao baada ya kuwauzia Bandari na ardhi ya wamasai?
 
Tanzania. Rais Samia ndiye kiongozi anayependwa na kuheshimika sana kwa sasa Barani Afrika na Duniani Kwote kwa Ujumla wake. Ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana kwa sasa.
Tanzania. Rais Samia ndiye kiongozi anayependwa na kuheshimika sana kwa sasa Barani Afrika na Duniani Kwote kwa Ujumla wake. Ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana kwa sasa.
8A056F46-04EB-492F-AD37-C3941C5AA25A.png
 
Chawa wa ndani wamepigwa ubunifu na mabeberu wa kutoka nje ya mipaka ya Tanzania !


View: https://m.youtube.com/watch?v=OxPJCIsD_28&t=38s

68196d0426e91.jpg

Tanzania's President Dr. Samia Suluhu Hassan has been handed the UAE's 'Mother of the Nation Order' for her efforts to promote sustainable development and social unity.

The honour from UAE President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan was presented to Dr Hassan by Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan, UAE Deputy Prime Minister and Minister of Foreign Affairs, during his official visit to Tanzania.

Sheikh Abdullah conveyed Sheikh Mohamed’s greetings and affirmed the UAE’s commitment to deepening ties with Tanzania.

Dr. Hassan expressed her appreciation and shared her hopes for stronger bilateral cooperation.

The two sides also discussed expanding collaboration in trade, investment and development.

Several agreements were signed, including partnerships in customs cooperation, mining sector investment and the establishment of UAE-Tanzania Business Council, to reflect a shared vision for economic growth
 

Merck Foundation CEO Congratulates Tanzania President on Being Awarded as 'Mother of the Nation Order' by the President of the United Arab Emirates​

Mumbai (Maharashtra) [India]/ Dubai [UAE], May 6: Senator Dr. Rasha Kelej, CEO of Merck Foundation, the philanthropic arm of Merck KGaA Germany, congratulated H.E. Dr. SAMIA SULUHU HASSAN, The President of the United Republic of Tanzania, for being awarded the prestigious 'Mother of the Nation Order' by H.H. Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, President of the United Arab Emirates
1746531613793.jpeg

Archive / maktaba : photo : Rais Samia Hassan na Senator Dr. Rasha Kelej, CEO wa Merck Foundation.
 
Back
Top Bottom