Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

Wewe ndio ujitambui kutwa kucha mama mama mama kwani huna mama yako?? Kira mtu anaye mama yake..... . Au wewe ulizaliwa porini ukatupwa ?? punguza shobo mchongoko.. ......... na komwe lako kama kufuri la lokapu.................haya mbona baba yako alipita na mama yako na siyo huyo mama yako wa mchongo...............yaani mpaka mnatia kinyaaaa
Kunywa sumu UFE tu kama unaumia na kuona Wivu
 
Hii tuzo inasadifu madai ya kuwapa ardhi ya Tanganyika bureeee.
Muarabu ni mchenzi sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu.

Rais Samia anaendelea kuwa katika kilele cha mafanikio na kama kiongozi aliyefanikiwa zaidi katika Bara la Afrika, anaendelea kuwa nuru na Mwanga wa Ulimwengu. Anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu.

Embu soma hapa chini.

👉Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Sheikh Abdullah Bin Zayed Al Nahyan Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Aidha, Medali hiyo ni moja kati ya Medali za juu kabisa kutoka kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Medali hiyo hutolewa kutambua mchango Kiongozi katika kuleta maendeleo endelevu kwa jamii yake. Serikali ya UAE imetambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu ambayo yanaendana na Sera za UAE za maendeleo endelevu katika kijamii, uwezeshaji wanawake na ushirikiano wa kimataifa.

Sheikh Abdullah aliwasilisha salamu kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan na kuwatakia kheri wananchi wa Tanzania katika maendeleo pamoja na ustawi zaidi. Pia alisisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa kudumu baina ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika sekta muhimu.View attachment 3326056

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mother of the Arabs sio watanzania.
 
MOTHER OF NATION??? WHICH NATION? OMAN OR UAE? She cannot be the mother of our nation....a Murderer and abuser of power, a kidnapper and a thug. Mchukueni mpelekeni huko kwenu, anaua watanganyika bila huruma, yeye na mkwe wake Mcherengwa.
 
Mama wa Taifa la Tanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu.

Rais Samia anaendelea kuwa katika kilele cha mafanikio na kama kiongozi aliyefanikiwa zaidi katika Bara la Afrika, anaendelea kuwa nuru na Mwanga wa Ulimwengu. Anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu.

Embu soma hapa chini.

👉Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Sheikh Abdullah Bin Zayed Al Nahyan Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Aidha, Medali hiyo ni moja kati ya Medali za juu kabisa kutoka kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Medali hiyo hutolewa kutambua mchango Kiongozi katika kuleta maendeleo endelevu kwa jamii yake. Serikali ya UAE imetambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu ambayo yanaendana na Sera za UAE za maendeleo endelevu katika kijamii, uwezeshaji wanawake na ushirikiano wa kimataifa.

Sheikh Abdullah aliwasilisha salamu kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan na kuwatakia kheri wananchi wa Tanzania katika maendeleo pamoja na ustawi zaidi. Pia alisisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa kudumu baina ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika sekta muhimu.View attachment 3326056

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kiongozi asiyewaamini wananchi wake kwamba wanaweza kuendesha bandari na akawapa kwa mkataba wa kuwalazimisha watanganyika.
Hata mimi ningempa hadhi ya Queen wa dunia.
 
Naona umbumbumbu umekujaa kichwani mwako
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu.

Rais Samia anaendelea kuwa katika kilele cha mafanikio na kama kiongozi aliyefanikiwa zaidi katika Bara la Afrika, anaendelea kuwa nuru na Mwanga wa Ulimwengu. Anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu.

Embu soma hapa chini.

👉Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Sheikh Abdullah Bin Zayed Al Nahyan Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Aidha, Medali hiyo ni moja kati ya Medali za juu kabisa kutoka kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Medali hiyo hutolewa kutambua mchango Kiongozi katika kuleta maendeleo endelevu kwa jamii yake. Serikali ya UAE imetambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu ambayo yanaendana na Sera za UAE za maendeleo endelevu katika kijamii, uwezeshaji wanawake na ushirikiano wa kimataifa.

Sheikh Abdullah aliwasilisha salamu kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan na kuwatakia kheri wananchi wa Tanzania katika maendeleo pamoja na ustawi zaidi. Pia alisisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa kudumu baina ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika sekta muhimu.View attachment 3326056

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nation ya huko uarabuni?
 
Unalazamisha undugu na mimi waati mimi sio ndugu yako wewe kunguni?

Ndugu zao wamekukana sababu ya ukunguni wako.

Wekaile namba yako uliyokuwa unaweka zamani watu watakuchangia.
Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu
 
Back
Top Bottom