Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yeye mwenyewe ni jambazi la kura, hakupata kura ml 32...ule ni utapeli wa tume ya uchafuzi!.Hongera kwa mama Samia kwa kuwa na huruma kwa majambazi na wahalifu
Kuchunguza chanzo na kilichotokeaHapa nimepigwa chenga!, ile tume ya kwanza ilikuwa ya kazi gani..??
Ahsante..Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Una ushahidi wa hilo? Wanachama wa CCM Tu wako million 30Yeye mwenyewe ni jambazi la kura, hakupata kura ml 32...ule ni utapeli wa tume ya uchafuzi!.
Hii ya pili Ni kwa ajili ya polisi pekee au pia kama wako watu au raia waliohusika kuratibu na kutimiza jinai?kwa sababu kumbuka tume ya maji chandi ni kama ilipunguza kushukiwa kwa polisi kuhusika yaani ni kama iliwasafisha kwa asilimia kubwaKuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Hii ni dubious move nyingine ya huyo Rais Haram. Faki zati demon-possessed bi+ch!TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025
Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-
Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Mapendekezo ya tume iliyongozwa na jaji chandePressure imepandisha homa ehhhh....😜
Nasikia IGP ni mgonjwa.Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Ni kuwachunguza polisi na wahamasishaji walioko nje, wale waandamanaji wengi ni ndani ya wale 518, wengine kwa vile waliisha shikwa na kushitakiwa kisha kusamehewa, hawawezi kushitakiwa tena.Hii ya pili Ni kwa ajili ya polisi pekee au pia kama wako watu au raia waliohusika kuratibu na kutimiza jinai?
Nimecheka sana, muhalifu anajiundia tume ichunguze anachokitaka yeye, na ripoti ni Siri yake. Ila tume zote haziangalii credibility ya uchaguzi, maana muunda tume ni mshitakiwa mkuu. Inshort hiyo tume haichunguzi chochote, bali mahasimu wa rais na genge lake tayari wameshaorodheshwa. Kwa bahati mbaya kwa sasa hakuna wajinga wa hivyo.Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
CHADEMA na viongozi wake wachunguzw
waka huu ukijifungua mtoto umuite CHADEMA!.
NAshauri mwaka huu ukijifungua salama tafwadhali muombe mmeo umpe mtoto jina CHADEMA!CHADEMA na viongozi wake wachunguzwe