PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani watu waliokuwa ma chekibobu shule, wahuni wa shule, wezi wa shule. Walimu waliwatambua kama wanafunzi wasio na mwelekeo wa maisha. Watu ambao ingetokea amepata Div 4 ya 26 basi ingekuwa ni maajabu kwa jamii nzima kujiuliza amepataje hiyo.
Watu hao ndio wanapewa dhamana ya kutafsiri na kusimamia sheria za nchi huko Afrika kwetu.
Watu hawa wana chuki binafsi na wale vipanga wa shule.
Kibaya zaidi ajira yao ni uchawa maisha yao yote wanaishi wakijipendekeza kwa matajiri.
Tofauti na huku mtu akikushitaki kwa ubakaji, kitengo cha upelelezi wanafanya kwanza upelelezi wakithibisha ulibaka ndio unakamatwa unashitakiwa. Huko Afrika mtu akisema tu we mbakaji basi unakamatwa unawekwa mahabusu ndio waanze upelelezi.
Hii yote inatokana na kuwaacha vilaza ndio wasimamie mambo nyeti.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=yaLSzjfyUiA

Kuna watu huko kwenye vyombo vya ulinzi wana hasira nae za hivyo, kwa matatizo ya Samia kuingizwa mkenge na wahuni.

Maskini Samia mwenyewe alitaka kuiba tu, ila wahuni walichofanya na kukera watu huko serikalini god knows.

Hakuna kipya chini ya jua, kama watanzania waliweza kuuwawa kinyama vile, na raisi pia anaweza uwawa kinyama kama ilivyokuwa kwa ‘Samwel Doe’.

Time will tell how this will end
 
Naunga mkono hoja..hakuna tawala iliyodumu milele duniani
 
Naunga mkono hoja..hakuna tawala iliyodumu milele duniani
Ili hudumu unahitaji kusaka legitimacy ya public support.

Ukishindwa public support unahitaji vyombo vya ulinzi.

Raisi ambae wananchi hawamtaki na split support ya vyombo vya ulinzi ni swala muda tu kabla ya demise.

Kwa Tanzania ni kwamba wahusika
wengi wa ulinzi kilichotokea ni kama suprise kwao; na wengi wameamia.

If you are analysts, what Mangę says; that’s the reaction you’d expect.

Siasa ni science; it’s not gonna end well for Samia isitoshe Samia mwenyewe ni mpuuzi tu not strategic.

I don’t see this ending well for her
 
Back
Top Bottom