PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tuna kazi moja tu, kuikomboa nchi December 9, this time kila mtu atakuwa na silaha, hii itakuwa pigo kubwa sana kwa Muuaji anae jifurashia kwa kijiundia fake tume.
 
Huyu bibi Tax , Samia , Muliro , Wambura ,Bashungwa ni inductee wa ICC

Ina shangaza sana hadi sasa hawajijui kama mahabusu ya Mahakama ya Kimataifa the Hague ICC Uholanzi inawasubiri.

Muda si mrefu INTERPOL wataelekezwa kutoa hati za kuwakamata wakajitetee kila mmoja kwa nafasi yake na pia kama genge kwa uhusika wao wa mauaji ya halaiki.

Wajiandae kufungasha masanduku kuelekea the ICC Hague Uholanzi

TOKA MAKTABA :
Wenzao walivyojitayarisha
TOKA MAKTABA :
6 Oktoba 2014


RAIS UHURU KENYATTA - WAHESHIMIWA NACHUKUA HATUA HII YA KIHISTORIA, KUKAIMISHA MADARAKA YA URAIS KWA MH. RUTO ILI NIENDE ICC THE HAGUE UHOLANZI KUJITETEA

View: https://m.youtube.com/shorts/ITgd_NJ_ulY
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ataelekea katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko Hague, Uholanzi kuheshimu wito kuhusu madai yake ya kuhusika katika kuandaa ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007. Rais Kenyatta alitoa tangazo hilo katika kikao maalum cha pamoja katika Bunge la Kitaifa la Kenya na Seneti. Pia alimteua naibu wake William Ruto kukaimu kama Rais akiwa hayupo. Hii hapa ripoti ya Chris Ocamringa. Kwa habari zaidi tembelea


View: https://m.youtube.com/watch?v=D8Odn8ne-SQ
 
Wanabodi hebu tuelimishane, hivi tarehe 29October wakati maandamano yalipofanywa kulikuwa na mawaziri wa Wizara? Mara lilipovunjwa bunge hakukuwa na mawaziri tena : hivyo wakati maandamano yanafanyika Stargomera Tax hakuwa waziri wa ulinzi tena!! Samia ndio alikuwa akiongoza wizara zote na hasa ya ulinzi.
Walikua mawaziri. Uwaziri unakoma rais mteule akila kiapo.
 
Kwa vichekesho zaidi bonyeza 1,kuongea na mtoa huduma wetu press 2!
 
Walikua mawaziri. Uwaziri unakoma rais mteule akila kiapo.
Sidhani kuwa uko sahihi kwasababu ili uwe waziri ni lazima kwanza uwe mbunge , sasa bunge linapovunjwa mawaziri wote wanakoma kuwa wabunge hivyo hawawezi kuendelea kuwa mawaziri mpaka hapo rais atakapoapishwa!!!
 
Watu wanaanza kujadili tume badala ya kulaumu matokeo ya ripoti ya uchunguzi?
 
Legitimacy ya hiyo tume ni ipi?
downloadfile-5.jpg
 
Nchi hii haishi vituko, sasa wanachunguza nini na wanamchunguza nani? Ina maana Rais hajui kwamba watu waliandamana kwanini, na katika maandamano hayo watu walipigwa risasi na kuuwawa na wengine kuzikwa makaburi ya pamoja. Hiyo taarifa watakayo itoa itasaidia nini?
Yale hayakuwa maandamano

Zile zilikua fujo na wizi na wachunguze bila kumuogopa mtu,kama TEC walihusika na bila shaka walihusika kama walivyohusika na genocide Rwanda basi washitakiwe
 
Hiyo sio tume ni ujinga.

Unaanzaje kuua watu namna ile?kwa kosa gani hasa walilofanya?

Mungu shusha pigo kali kwa wioagiza na waliotekeleza unyama wa namna ile.
 
Tume yake na mhalifu ni yeye mwenyewe kicheko, kwaio au basi tu
 
Mwanamke anakuaje msenge?

******* ni wale maaskofu wa TEC ambao hawajaoa wala kuolewa ,kwa akili ya kawaida unadhani watakuwa wanakidhi vipi haja zao wale wavaa magauni kama siyo kufanyiana sodomy??
Wewe mke wa abduli Nakusweka ignore list kuanzia hapo sitaona Tena comment yako
 
Anajidanganya mwenyewe.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya kazi na huyu mtu mwovu kabisa.

Asubiri tu zamu yake kufikishwa mbele za sheria kama mwenzake Sheikh Hasina alivyo fanya.

Anaunda tume ya kitu gani wakati akijuwa wazi ni matokeo ya maamuzi yake ndiyo yaliyosababisha maafa yote haya?
 
Kiongozi HARAMU, ambaye hakuchaguliwa na watu ataunda vipi tume ya uchunguzi. Uhalali wa tume hiyo unatokana na nini?.

Hata hivyo; tume ya watu kama hawa walio orodheshwa hapa utategemea uchunguzi wa HAKI hapo?

Anachofanya Samia ni kununua muda tu wa kuendelea kukaa madarakani na kuwanufaisha binafsi hao waliopo kwenye hiyo tume.
 
Sidhani kuwa uko sahihi kwasababu ili uwe waziri ni lazima kwanza uwe mbunge , sasa bunge linapovunjwa mawaziri wote wanakoma kuwa wabunge hivyo hawawezi kuendelea kuwa mawaziri mpaka hapo rais atakapoapishwa!!!
Mkuu unaporekebishwa badala ya kuendelea kubisha unapaswa ufanye tafiti. Uwaziri unakoma pale ambapo raisi anapoapishwa tena. Mawaziri walikua bado mawaziri hadi siku ya uchaguzi hadi siku ya kuapishwa raisi.
Hapa nakuwekea uone mawaziri walivyokua wakiendelea na kazi kama kawaida
Hii ilikua October 22, waziri wa ulinzi Stergomena Tax alikua akiendelea na kazi kama waziri

View: https://www.instagram.com/reel/DQG3FQ4jSG6/?igsh=bjBhbGtrMHp3eGNz

Hii ilikua October 25, waziri Tax akiendelea na kazi kama kawaida

View: https://www.instagram.com/p/DQONENXDf01/?igsh=dXd6NDFjY210anAy


Hii ni wizara ya ujenzi, September waziri ulega alikua na kikao na bodi ya ERB

View: https://www.instagram.com/p/DPETbY4iEjx/?img_index=2&igsh=aHA4c3g5ZTZpaHdn

Hii ni October 12, waziri mchengerwa alikua bado kazini kama waziri

View: https://www.instagram.com/p/DPsx0AjCO52/?igsh=MTlxeGt4bHA1OWUzMQ==
 
Back
Top Bottom