PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naona kama ccm wanalizunguka tatizo na kwenda kwenye matokeo badala ya chanzo.

Tume nyingi ni njia mojawapo ya kuwakumbuka wazee wastaafu wapate mkate nao maana watapewa Ma LC 300 na dereva ofisi na lunch nyingi na mishahara juu.

Balozi David Kapya ulivuonyooka baba wa mbinguni akakusimamie unyooke uwambie ukweli lazima vibopa fulani wawajibike whethe they like it or not.

Mara nyingi matokeo na hitimishi la hizi tume huwa haziwi public tofauti na Europe. Kwa umma tume haitakuwa na maana sana
 
Huyu mama inatakiwa siku aamke akute Abdul na Wannu wameuawa kikatili ndo ataanza kuelewa somo, inatakiwa somo lifundishwe kivitendo ndo litaeleweka vizuri
Au tumewagonga m b o o na video tumewa record yani ile kikatiri mnoo lbd uchungu utamuuma maana wao kuendelea kuishi ni aibu wakifa ni msiba tu unaosahaulika
 
Anafanya mambo ya kipuuzi ,kwanza ilitakiwa awapige chini wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama ili huo uchunguzi uanze ,kitendo cha kufanya uchunguzi wakati WALIOTENDA BADO wapo kwenye viti vyao ni kuzidi kuona kwamba hayupo serious.
Hawezi kuwapiga chini, wao ndio wamewezesha yeye kubaki madarakani bila hata uchaguzi kufanyika.
 
Utatuzi wa migogoro ni utaalamu

Je hili jopo la KIKOSI KAZI TUME YA SAMIA lina utaalamu na kweli waliwahi kufanikisha ?

TOKA MAKTABA :
RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI

Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Finland

0q0a8834-1368x654.jpg

Picha: Matti Porre/Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Finland

Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb katika kumbukumbu ya Urithi wa Rais Martti Ahtisaari jijini Dar es Salaam, Tanzania, tarehe 15 Mei 2025​

Hotuba

15.5.2025

Angalia dhidi ya utoaji
Waheshimiwa, Mabibi na Mabwana, Marafiki wapendwa wa Martti,

Ninahisi kuheshimiwa na kupendelewa kuwa hapa Tanzania ili kushiriki kumbukumbu za legacy ya Martti na watu ambao wamefanya kazi naye kwa miongo mingi.

Tanzania ilikuwa na nafasi ya pekee sana katika maisha na kazi ya Martti. Kwa njia nyingi, alikuwa hapa kwamba alianza kazi yake kama mpatanishi.

Martti aliteuliwa kuwa Balozi wa Finland jijini Dar es Salaam mwaka 1973 na aliishi hapa kwa miaka minne. Wakati huo, aliifahamu Tanzania na watu wake vizuri sana.

Martti pia aliendeleza uhusiano mkubwa wa kuaminiana na vuguvugu mbalimbali za kudai uhuru na viongozi wao, wakiwemo SWAPO kutoka Namibia. Mahusiano haya yalichukua nafasi kubwa wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA lilipomteua Martti Ahtisaari kuwa Kamishna wa Umoja wa Mataifa wa Namibia Januari 1977. Mnamo Julai 1978, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alimteua Ahtisaari kuwa Mwakilishi wake Maalum nchini Namibia. Hii ilikuwa kazi yake ya kwanza kama mpatanishi.
***

Baada ya muda wake huko Dar es Salaam, Martti alifanya kazi kama mpatanishi kwa miongo sita tofauti. Alipatanisha amani katika mabara matatu tofauti - Afrika, Asia na Ulaya - akiwa amevaa kofia tatu tofauti: kama mwakilishi wa Umoja wa Mataifa, kama Rais wa Finland na kama mpatanishi binafsi, Mwenyekiti wa CMI (zamani Crisis Management Initiative, sasa Martti Ahtisaari Peace Foundation).

Mafanikio yake makuu matatu yalikuwa Namibia, Aceh na Kosovo. Ingawa michakato hii yote ilikuwa karibu sana na moyo wa Martti, Namibia - na Afrika kwa upana zaidi - labda ilikuwa na athari kubwa zaidi katika kazi na mawazo yake.

Aceh na Kosovo zilikuwa michakato ambayo aliipatanisha kama mwanadiplomasia mwenye uzoefu. Kufikia wakati huo, alijua jinsi wakati muhimu ni katika upatanishi wa amani.

Alipochukua wadhifa huo kama Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Namibia kama mwanadiplomasia mdogo, hakukuwa na ukomavu. Wataalamu na viongozi wengi waliona kazi hiyo kama misheni haiwezekani (mission impossible) .

Martti mwenyewe alisema kuwa moja ya kazi zake kuu nchini Namibia ilikuwa kuzuru miji mikuu ya Afrika mara mbili kwa mwaka na kisha kurejea New York kuripoti juu ya maendeleo, ambayo mara nyingi yalikuwa madogo. Ikiwa mtu mwingine yeyote angesema hivi, inaweza kuonekana kuwa ya kijinga kidogo. Lakini Martti aliposema, aliweza kusema kwa njia iliyojaa matumaini. Ustadi huu hasa, uwezo wa kupata tumaini katika maeneo na masuala ambayo wengine hawakufanya, ulimfanya kuwa mpatanishi wa kipekee.
***

Ningependa sasa kumtazama Martti Ahtisaari na kazi yake kutoka mitazamo mitatu tofauti:
  • Kama mtu
  • Kama mtaalamu wa upatanishi
  • Kama sehemu ya historia ya kisasa
***
Kama mtu, ningemtaja Martti kwa maneno matatu: huruma, matumaini na ukweli.
Mara nyingi Martti alijielezea kama IDP ya milele (mtu aliyehamishwa akawa mkimbizi wa ndani). Alizaliwa Karelia na ilimbidi aondoke nyumbani kwake akiwa mvulana mdogo wakati Muungano wa Sovieti yaani Russia uliposhambulia Finland. Hili pengine likiweka kumbukumbu ndani yake juu ya mtazamo wa dunia, na kuchangia kwa huruma yake ya kipekee. Aliweza kuelewa hisia za wahusika kwenye mzozo na kuunganishwa kwa undani na aina tofauti za watu.

Kuwa mkimbizi wa ndani (IDP) wa milele hakukumfanya Martti awe mbishi au mwenye uchungu. Kinyume chake, aliamini katika matumaini sio tu mtazamo, bali pia njia. Alielewa kuwa jinsi tunavyoona mambo ina athari kubwa juu ya jinsi yanavyoishia. Huu ulikuwa mtazamo wake pia alipofanya kazi kwa zaidi ya miaka kumi kwa ajili ya uhuru wa Namibia, akiwa amevalia kofia tofauti, hata wakati wengine hawakuamini kuwa inawezekana.

Huko Martti, huruma na matumaini viliunganishwa na uhalisia usiofaa. Aliiona dunia jinsi ilivyokuwa na akatenda ipasavyo. Mchanganyiko wa sifa hizi ulimfanya awe mpatanishi wa kipekee. Pande zote mbili kwenye mzozo na jumuiya ya kimataifa zilimwamini. Alielewa kwamba uaminifu ni kitu ambacho kinaweza kujengwa na kinapaswa kutumiwa kwa hekima. Ingawa muda mwingi alikuwa mwepesi sana, mwenye kunyumbulika na mcheshi, aliweza kuchagua maswala na hali hizo ambapo wahusika wanahitaji kusikia kile ambacho ni cha kweli na kisichowezekana.

Lakini hata katika hali hizo aliweza kutoa mambo ya hakika yasiyopendeza kwa njia iliyohisiwa kuwa zawadi kwa wale wanaopokea ujumbe.
***

Martti alikuwa mtaalamu wa kweli. Kiukweli ni kwamba hakuwahi kujiona kama mpatanishi. Kwa kweli, alielezea kazi yake kama ile ya wakala mwaminifu. Hii ilimaanisha kwamba alichukua msimamo wa wazi kabisa, wa kanuni tangu mwanzo kabisa. Na hapo ndipo alipoanza mchakato wa kuchunguza kile kinachowezekana ndani ya mfumo aliopewa.

Katika Namibia na Kosovo, msimamo huu wa kanuni ulikuwa uhuru wa nchi hizi. Nchini Indonesia, sehemu ya kuanzia kwa mchakato huo ilikuwa uhuru wa jimbo la Aceh. Tangu mwanzo wa mchakato huo, alikuwa wazi sana kwamba hili ndilo suala pekee alilokuwa ameandaliwa kuchunguza katika jimbo la Aceh. Na ikiwa pande zote zilitaka kujadili uhuru, italazimika kutafuta mpatanishi mwingine. Martti alihisi kwamba njia bora ya kupata uaminifu ilikuwa kuwa wazi kabisa na wahusika kuhusu nia yake, na kisha wahusika wangeamua ikiwa alikuwa tayari kutekeleza jukumu hilo.

Misimamo hii yenye kanuni, haikuhusu itikadi. Badala yake, zilikuwa tathmini chafu za 'politik' za hali hiyo. Kwa Martti, sharti kuu la mchakato wa amani uliofanikiwa lilikuwa ni upatanishi wa mataifa makubwa na hii inaweka vigezo vya msingi vya mchakato huo. Bila maafikiano na mataifa makubwa, amani endelevu si ya kweli.

Wakati huo huo, Martti alikuwa na kanuni sana juu ya wazo kwamba wahusika tu kwenye mzozo wanaweza kufanya amani. Mpatanishi - au kwa upande wake, wakala mwaminifu - anaweza kusaidia wahusika kuchunguza vigezo vya amani, lakini wahusika lazima wafanye maamuzi ya mwisho. Hii ndiyo njia pekee ya kuhakikisha kwamba amani inakuwa endelevu.

Vigezo hivi vilikuwa muhimu kwa kazi zote muhimu za Martti. Hatua ya kuanzia ilikuwa kutafuta suluhu ambayo ingeongeza usawa na hisia ya haki, licha ya vigezo vilivyowekwa na 'realpolitik'.

Katika uhuru wa jimbo la Aceh, hii ilisababisha kuongeza vipengele mbalimbali vya uhuru, bila kutoa uhuru kwa mtu yeyote. Huko Kosovo, ilisababisha mfano, ambapo Waserbia walio wachache - ambao walikuwa wakishirikiana na Serbia na dhidi ya uhuru wa Kosovo - walipewa haki pana sana za wachache katika katiba ya Kosovo.
***

Ingawa baadhi ya sifa na mbinu ni za watu wote, kazi ya Rais Ahtisaari pia ni sehemu ya historia ya hivi karibuni.
Uhuru wa Namibia unahusishwa kwa karibu na mwisho wa Vita Baridi na ubaguzi wa rangi.

Muungano wa Kisovieti Russia ulipoanguka, mapambano kati ya itikadi yalipoteza umuhimu wake, angalau kwa muda. Kulikuwa na nafasi zaidi ya kufikiria juu ya kile ambacho kilikuwa kizuri kwa watu na maisha yao ya baadaye.

Huko Aceh, makubaliano ya amani yalitiwa saini baada ya 9/11, Afghanistan na Iraq. Wakati huo, kulikuwa na makubaliano yenye nguvu ya kimataifa juu ya hitaji la kupunguza tishio linaloletwa na w makundi wasio wa serikali wenye silaha (Non State Actors).

Mchakato wa hadhi ya Kosovo mnamo 2006-2007 ulifanyika wakati uhusiano kati ya Amerika, Ulaya na Urusi ulianza kuvunjika.
***

Nyakati za mafanikio zaidi katika taaluma ya Martti zilikuja wakati ambapo tulikuwa na imani zaidi katika taasisi za kimataifa za jumuiya ya kimataifa na sheria zinazokubaliwa kwa kawaida kuliko sisi leo. Mtu anaweza hata kuuliza jinsi masomo haya yanafaa kwa ajili ya kuleta amani ya zama hizi za kisasa.

Nafasi ya mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa mwanzoni mwa miaka ya 2000 ni tofauti sana na ile ya mjumbe maalum leo. Utata na kutokuwa na uhakika vimeongezeka, na michakato ya amani ni mibaya zaidi kuliko hapo awali.

Ningesema kwamba kujifunza masomo ya amani ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Martti hakuwahi kuzungumzia nyadhifa alizoshikilia. Siku zote alizungumza juu ya kazi alizopewa. Haja ya kuwatendea watu kwa utu, kuelewa mipaka na uwezekano wa muktadha uliotolewa na kupata masuluhisho ya vitendo kwa matatizo yanayosababishwa na mwanadamu ni ujuzi na sifa za ulimwengu kwa kila mtu ambaye amepewa kazi ya kufanya kazi kwa manufaa ya wote.
Asante!

Source : Speech by President of the Republic of Finland Alexander Stubb at the President Martti Ahtisaari Legacy Seminar in Dar es Salaam, Tanzania, on 15 May 2025 - Presidentti
 
Ulifanya fujo kwani Komwe?

Kuna mogadishu singida inaitwa “Ighombwe” twende nikupeleke.
Hahahaa 😂😂😂

Ighombwe napajua huko tulikuwa tunalima ulezi watanikamata.

Bora nikajibanze hapo "ghalunyangu" pako poa sana kwa kupanga mikakati.
 
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli?

Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi imefanyiwa nini mpaka leo? Rais Samia unawatanzania Watanzania ambao uvumilivu wao kwenye maumivu umebakia utambi tu halafu unaenda kutia kijiti machoni!

Lakini tume hii imewekwa na majina tu, haina vitu muhimu;
- Je, kazi hiyo inaanza lini?
- Ni yapi majukumu ya kila mmoja katika tume hii?
- Kazi ya tume hii inaisha lini?

La muhimu kabisa KWANINI IMEFICHWA KUWA TAX ALIWAHI KUWA WAZIRI WA ULINZI, ambaye chini yake aliwahi kutoa maagizo ya kipumbavu ili wanchi wafanyiwe ukatili na kuuliwa? Ili aonekane Mwanadiplomasia mbobevu wakati ni juzi tu hapo alisema akina Agather na mwenzake aashughulikiwe? Muuaji akamchunguze muuaji?!

Lakini hapo nyuma iliundwa tume ya haki jinai na ikaja na mapendekezo mazuri tu ambayo yangefanyiwa kazi tusingefika hapa na kushuhudia mauaji mabaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.

Hii ripoti kuna ulichotekeleza Samia - Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

Haya ni matokeo ya kuuza matokeo ya tume zote hizo, na wakulaumiwa ni wewe SAMIA.
=====

TAARIFA KWA UMMA​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.

Aidha, Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo na wajumbe walioteuliwa ni wafuatao:-

(i) Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania;

(ii) Balozi Ombeni Yohana Sefue Kiongozi Mstaafu; Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu

(iii) Balozi Radhia Msuya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(iv) Balozi Lt. Gen. Paul Meela - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(v) IGP (Mstaafu) Said Ally Mwema Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mstaafu;

(vi) Balozi David Kapya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; na(vii) Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax Aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
18 Novemba, 2025​

View attachment 3503744
Muuaji anapounda tume ya kumsafisha hii ni dhihaka kubwa sana kwa Watanganyika .
 
Binafsi sioni kama hii tume inaweza kuleta majibu genuine,pia mchanganyiko wake naona hauko sawa sana,sijui ni nani anamshauri Rais,naona kuna kitu hakiko sawa
Mshauri wake mkuu ni Jakaya Kikwete na ndio maana wateule wa hiyo tume wote wana connection na mkwere including huyo mama aitwae Radhia Msuya!!!
Hiyo ni tume ya wanamtandao!!
 
Ombeni mwana mtandao rafiki wa jk na katibu mkuu kiongozi wake kipindi yupo ikulu
 
Na huyo kibibi Tax alikua waziri wa ulinzi wakati wa mauaji ya halaiki.

Wapumbavu wakubwa wamemtambulisha katika tume haramu kama mtumishi wa zamani wa SADC ambayo aliondoka miaka 2 iliyopita na nafasi ya mwisho kutumikia ilikua ni waziri wa ulinzi wanaogopa nini kumtaja kama hivyo?

Huyu ni inductee wa ICC.

Wanabodi hebu tuelimishane, hivi tarehe 29October wakati maandamano yalipofanywa kulikuwa na mawaziri wa Wizara? Mara lilipovunjwa bunge hakukuwa na mawaziri tena : hivyo wakati maandamano yanafanyika Stargomera Tax hakuwa waziri wa ulinzi tena!! Samia ndio alikuwa akiongoza wizara zote na hasa ya ulinzi.
 
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli?

Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi imefanyiwa nini mpaka leo? Rais Samia unawatanzania Watanzania ambao uvumilivu wao kwenye maumivu umebakia utambi tu halafu unaenda kutia kijiti machoni!

Lakini tume hii imewekwa na majina tu, haina vitu muhimu;
- Je, kazi hiyo inaanza lini?
- Ni yapi majukumu ya kila mmoja katika tume hii?
- Kazi ya tume hii inaisha lini?

La muhimu kabisa KWANINI IMEFICHWA KUWA TAX ALIWAHI KUWA WAZIRI WA ULINZI, ambaye chini yake aliwahi kutoa maagizo ya kipumbavu ili wanchi wafanyiwe ukatili na kuuliwa? Ili aonekane Mwanadiplomasia mbobevu wakati ni juzi tu hapo alisema akina Agather na mwenzake aashughulikiwe? Muuaji akamchunguze muuaji?!

Lakini hapo nyuma iliundwa tume ya haki jinai na ikaja na mapendekezo mazuri tu ambayo yangefanyiwa kazi tusingefika hapa na kushuhudia mauaji mabaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.

Hii ripoti kuna ulichotekeleza Samia - Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

Haya ni matokeo ya kuuza matokeo ya tume zote hizo, na wakulaumiwa ni wewe SAMIA.
=====

TAARIFA KWA UMMA​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.

Aidha, Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo na wajumbe walioteuliwa ni wafuatao:-

(i) Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania;

(ii) Balozi Ombeni Yohana Sefue Kiongozi Mstaafu; Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu

(iii) Balozi Radhia Msuya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(iv) Balozi Lt. Gen. Paul Meela - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu;

(v) IGP (Mstaafu) Said Ally Mwema Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mstaafu;

(vi) Balozi David Kapya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; na(vii) Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax Aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
18 Novemba, 2025​

View attachment 3503744
Nchi hii haishi vituko, sasa wanachunguza nini na wanamchunguza nani? Ina maana Rais hajui kwamba watu waliandamana kwanini, na katika maandamano hayo watu walipigwa risasi na kuuwawa na wengine kuzikwa makaburi ya pamoja. Hiyo taarifa watakayo itoa itasaidia nini?
 
Back
Top Bottom